Madai: Robot Sophia anataka awe na familia yake na ajira kama binadamu

Je Hizo robot unazozizungumzia zina uwezo wa kujifunza chochote kama binaadamu na zikakiweza kwa ukamilifu?
Mkuu hili sio la kuniuliza kama haya mambo unayafatilia hata kidogo
Nili assume umefanya hata research ndogo kuhusu A.I,I was wrong
 
Mkuu kwanza tuanze na swali hili

What is intelligence?
Answer: 1.the ability to acquire and apply knowledge and skills.
2. the collection of information of military or political value.

Chochote anachofanya robot kiko scripted kwa namna moja au nyingine
Mimi nakujibu chochote unachofanya kiko scripted kwenye ubongo wako subconsciously , tofauti na machine ni kuwa kwa machine kipo transparent kwa yeyote mwenye know how na access ya kufanya hivyo anaona kila kitu.
Ukichukua watu mia ukawauliza kitunwasichojua kila mtu atatumia intelligence yake kujibu
Unaposema atatumia intelligence yake maana yake atatumia knowledge na skills alizo acquire kutoka sehemu flani.
Wapi?
Kutoka kwa watu wengine, wanyama, au may be toka kwa ancestors wake through DNA(hapa hii itakuwa subconsciously), shuleni, vitabuni, mitandaoni, n.k.
Huwezi kulichukua li sofia ukalifundisha kuendesha baiskeli kama hujali program hivyo
Ni kama wewe ambavyo siwezi kukuchukua na kukutupa pale Area 51 Nevada na kukupa Stealth Jet fighter ulirushe sababu haujafunzwa juu ya hicho kitu, kifupi haujawa scripted na wajuzi wa hiyo teknolojia.
 
Yes, can't compare a human eye with a camera!
Because with a human eye you can not record an event in Wembley Stadium, UK and watch it instantly in his 'Kibanda umiza' at Tandale, Dar es Salaam.
With a a human eye you can not see things 3KM away,mean while a camera can capture things 8KM away.
After saying that, I totally agree with you one can not compare a human eye with a camera, the later is too superior.
 
Umeneza mpaka propaganda za dunia. Naona unarudia tu MUSK anaogopa, MUSK anaogopa. It will never be. Fullstop

Mwanadamu ni mashine ya pekee kabisa kuwai tokea na haitakuja tokea. Intellejence ya mwanadamu ipo juu na robot hawezi ifikia, sasa usichanganye speed perfoming and ability to apply skills in every aspect.
Chukua huyo robot wako mwambie naomba uende mwanza, nyamagana, ukifika chukua bodaboda waambie wakupeleke mwaloni nunua dagaa wa laki mbili, usipite njia ya basi panda treni, shuka kilosa uza wote ndio uje dar[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hapo ndio utakua mwanadamu na Robot nani ana akili

Wala hayo maelezo hutahtaji kujifunza kitu kipya, utafikiri tu stand ipo wapi uanze safari, na njiani ukipata tatizo uta apply solution.

Sasa mpeni sofia wenu huyo maelezo hayo ndio utajua who is natural super intellegent and who is altificial. Lwanza note neno Altificial
Dumelang
 
Ha haa ..
Inabidi nicheke tu, mkuu!
Unafikiri kati ya hivyo vyote kipi kinashindikana kwa robot?

Robot lilitumwa kutoka Iran likakwepa vitu likaenda kutungua kisima cha mafuta ndani ya ardhi ya nchi ya kigeni saudia.
Halikulipua shule , hospital au soko au nyumba ya mtu yeyote asiye kusudiwa.
Kila siku wamarekani wanatuma maroboti sayri ya mbali kukusanya sample na taarifa za sayari husika kama kuna viumbe au binadamu anaweza kwenda kuishi huko.
What makes you think that robot can not go to Mwanza to buy sardines?

Kwa taarifa yako huyo Elon Musk amesha tengeneza gari ambayo haiendeshwi na binadamu, inaenda unapoituma bila kukosea na wala haigongi watu au vitu.
Inatafuta njia ambayo haina foleni kubwa,
Inaweza kutafuta shortest path n.k.

Kwanza utambue hata wewe usipoambiwa na mtu stand ya mabasi ya Mwanza ipo wapi , usipopewa ramani ya stand ya Mwanza, usipopewa hivyo vyote kuhusu Soko la Mwaloni hautafika pia kama ambavyo robot likikosa hizo metadata za address ya maeneo husika halitafika.

Wewe ungekuwa umefungiwa ndani tangu uzaliwe hujasikia na kuona toka kwa watu chochote kuhusu dagaa au gari basi usingejuwa gari au bodaboda au dagaa ndio kitu gani.
Nini kimetokea hadi unavijuwa vitu hivyo?
Umejifunza/umefunzwa toka kwa watu.

Kujifunza ndio nini kwa kiingereza?
Jibu ni learning.

AI robots na binadamu wote lazima wajifunze au wafunzwe facts flani zilizotunzwa sehemu kama dataset kisha huzitumia taarifa hizo kufanya tathimini na kufikia maamuzi flani yaani kusema kwamba hapa ndio Mwaloni nimefika, hawa niliopewa ndio dagaa kweli kulingana na taarifa nilizo nazo za dagaa wana size gani, harufu gani, rangi gani n.k.
Wewe utatunza taswira ya dagaa kichwani na AI robot litatunza/kuchukua maelezo na picha ya dagaa toka kwenye storage device zake.

Wewe utatumia macho, pua na sensor zingine mwilini mwako kuchukua hizi taarifa wakati AI robot litatumia camera na sensor zingine kuchukua taarifa.
Tofauti ya wewe na AI robot au tuite machine ni kuwa kwako taarifa hizi zimekuwa scripted na kutunzwa kwenye ubongo, na yeye zipo kwenye hard disk kisha kwenye RAM/ROM.

Maajabu au mfano zaidi upo wapi?
Kumbukumbu hizi mwilini mwako hufanya kazi kwa kutegemea chaji za umeme(electrochemical signals ) zilizo mwilini mwako na kwenye AI au machine nazo vilevile huwa ktk mfumo wa sumaku na chaji (magnetic fields and then in electrical charges)

Sasa nakupa hicho kipande cha maelezo hapo chini mchakato/hatua wa kujifunza unafuata utaratibu ule ule kati ya binadamu au AI machines.

Regardless of whether the learner is a human or machine, the basic learning process is similar. It can be divided into four interrelated components:
  • Data storage utilizes observation, memory, and recall to provide a factual basis for further reasoning.
  • Abstraction involves the translation of stored data into broader representations and concepts.
  • Generalization uses abstracted data to create knowledge and inferences that drive action in new contexts.
  • Evaluation provides a feedback mechanism to measure the utility of learned knowledge and inform potential improvements.
Further reference katafute kwenye kitabu cha Machine learning with R – Second Edition, written by Brett Lantz.
Kama ukikosa kitabu hicho unaweza kusoma kwa kifupi kwenye hii link Is the machine learning process similar to how humans learn?
 
If your eye could be a camera, it would cost the minimum of $35,000,000!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba kujua km liSophia lina Papuchi[emoji15]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
How do you know that you as a human you are not programmed? Inawezekana na ww binadamu ni prorammed una lots of data in you na unarespond kulingana na namna ulivyokuwa Programmed. Sofia asingekutana na binadamu waliomuunda angejua kuwa yeye ni programmed? Kwani how does Sofia feels? Does she feel pain if you burn her? Will she stop you if you try to hit her? anyways ni changamoto tu tunapeana maana tumekosa kazi sasa tunajaribu kuingilia kazi za MUNGU
 
Sofia ana resistors, transistors, chips, wires, internal servers, etc

Sofia anaweza kua hacked atukane na akatukana, sijui wewe unaweza kua hacked?


Sophia Vs mtoto anaejifunza vitu???
Sophia is nowhere near a toddler
Mtoto anayenifunza akikuona for first-time and ukimtishia mara ya Kwanza akalia, hata uje umevaa kanzu, kimasai, penzi, kofia, au asikie sauti atalia na ataogopa

Sophia ukamtishia mara ya Kwanza ukamprogram ukija tena alie (say by advanced AI i.e neural networks) ukija umevaa kanzu, umempiga chenga, ukija umevaa miwani umempiga chenga, sijui barakashia etc, the reason atakua ana search image na ku compare hapati, ukija vilevile atakumbuka

Sijui umeniewa hapa, neurones za binadamu ziko spatially oriented, transistors ziko arranged even deepMind (advanced neural networks that implements machine learning) aren't even near to the toddler's brain ability.

Ubongo ni kazi ya asili ya uumbaji.

Sophia is just a robot.

There are advanced automated software, thousands more powerful, mimicking human intelligence than Sophia

The reason Sophia makes media headlines is because it is an automated electromechanical system in human-like skeleton, gets attention everywhere.

Had not it been in human skeleton, it would've not attracted much attention like it's getting now.
 
Mkuu yoote uliosema hata binadamu ndo alivyo. Hata wewe unaweza kuwa hacked na virusi au bacteria ukaanza tukana ovyo au kupiga watu, ndo maana tuna hospitali za vichaa. Ubongo ni kazi asili ya uumbaji ndio, but uumbaji ni nn? Utofauti ni kwamba aliyekuumba uwezo wake wa sayansi ni mkubwa sana hivyo utofauti wa kazi yake na yetu pia lazima uwe mkubwa. Ww ni kiumbe uliyeundwa na super inteligency. Tofauti yako na Sofia ndo hiyo basi. Mambo mengine yote mnafanana.
 
I salute you mkuu
Umemaliza
 
Nafikiri everybody should read this, suppose to be analysis of what we are discussing here

Bila kumwambia mtu, yeye ataanza kutafuta hapo mahali mpaka afike anako taka

Sophia bila kimprogram mwanza kichwani mwake(on chip) hata ubungo hawezi jua

Wanao mtemu sofia as if ana approach human intelligence ni programming fanboys and tech Movies , they think OneDay they will create a human brain by sitting on the keyboard.

I can say, it is easier for Einstein relativity to break laws and go back in time than creating the most complex, yet chaotic human Intelligent organ -brain, let alone Central Nervous System

I don't know, kama watu wanakua fooled kweli na hii scripted robot, mature AI programmers wanaweza kua hata wanacheka jinsi watu wanavyoshangaa ati ni intelligent like us..

Sophia ni Eliza program iliyoko kwene device

Tofauti ya Sophia na laptop ni kwamba program ni ileile Ila skeleton ndo linawachanganya watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…