Serikali inunue mabasi kwa ajiri ya kubebea wanafunzi, mbona shule za private zina gari zao maalumu za kubebea wanafunzi wao, serikali inashindwa nn?
Kununua magari ya kifahari kwa viongozi inaweza? Ila kwa umma hawawezi? Mistake kupangia watu mali zao, wanatafuta kwa jasho afu tena muwafuje hovyo, nyie vipi?
Toeni hayo ma V8 na LC wabebwe wanafunzi, ila km watapanda dala dala walipe nauli husika ya abiria wa kawaida.
Hakuna kuchekeana lazima ukweli uwekwe wazi, Serikali iache uonevu,
Nadhani hii elimu kuhusu uwepo wa kituo cha simu cha LATRA cha mawasiliano na jamii sasa kitasaidia.Ubarikiwe mh Waziri,
Kiukweli makondakta wanawanyanyasa sana wanafunzi asubui na jioni, na cha kusikitisha zaidi abiria watu wazima wanakuwa kimiya wala hawawatetei watoto,yaan baadhi ya watanzania waoga sijui ni kitu gani ,mtu anaona mwenzie au mtoto ananyanyaswa na kondakta ye au wao wananyamaza kimiyaa....
na Latra iweke sheria kali dhidi ya hawa wahuni,tena iambatane na kifungo cha jela kabisa.
V8 linapita na mtu mmoja ....Serikali inunue mabasi kwa ajiri ya kubebea wanafunzi, mbona shule za private zina gari zao maalumu za kubebea wanafunzi wao, serikali inashindwa nn?
Kununua magari ya kifahari kwa viongozi inaweza? Ila kwa umma hawawezi? Mistake kupangia watu mali zao, wanatafuta kwa jasho afu tena muwafuje hovyo, nyie vipi?
Toeni hayo ma V8 na LC wabebwe wanafunzi, ila km watapanda dala dala walipe nauli husika ya abiria wa kawaida.
Hakuna kuchekeana lazima ukweli uwekwe wazi, Serikali iache uonevu,
Hujambo? Pamoja na maoni haya ambayo naamini LATRA watasoma, tukumbuke pia kuwa, tukishasajili huduma zetu, tunakuwa tumekubali kuwajibika kwa sheria iliyotusajili. Aidha, pia tunakuwa na uhuru wa maoni kwenye taasisi iliyotusajili. Ahsante kwa mchango wako.Hivi Mama, huko kwenye vikao vyenu hamkuwahi kujadili Serikali kununua mabus yakutosha mkoa wa Dar es salaam kwa ajili ya Wanafunzi tu na wazazi wawe wanachangia kiasi fulani labda monthly.
Hii kero ipo miaka nenda rudi toka enzi zile za Tambaza mpaka Leo hapo Dar bado kunashida ya usafiri wa Wanafunzi tu, inamaana mpaka Leo hatuna solution?
Mama shida nyingine kuubwa mashule ya vijijini huko unakuta watoto wako kwenye highway wanaomba lift kwenye malori na magari yanayopita matokeo yake watoto wa kike wanakuwa kwenye hatari kwa hawa wahuni wa malori, na wengine.
Huko mawilayani kutokana na mashule kuwa mbali bodaboda wamekuwa ndio waume sasa wa mabinti. (Hatari sana)
Hili suala la usafiri wa Wanafunzi msiishie tu Dar es salaam hata mikoani sasa mnahitaji kuumiza kichwa, kwangu mimi naona suluhu ni Serikali kuanza school buses kuanzia kwenye miji mpaka mawilayani na vijijini huko.
Kwenye hizi highways mabus ya Wanafunzi yawe yanazungukuka muda wa kuingia na muda wa kutoka.
Kila Mkoa kwenye highways zake unakuwa na mabus yake maana tuna miji mingi mabarabarani, wilayani pia kila kwenye population kubwa inawekwa bus..nk
Huu umbali wanaotembea hawa watoto naamini hata upeo wao unakuwa mdogo mashuleni huko.
Ahsante sana, 🙏🙏Chukua wanzuki hapo nakuja kulipa
💪💪💪💪💪Ahsante sana, 🙏🙏
Idadi ni watanoHawezi kupandishaa gari zima wanafunzi serikali ingeweka walau idadi ya wanafunzi Kila gari konda awapakie...
Konda anatafuta hesabu ya boss wakati wanafunzi anatakiwa awahi shule au awahi nyumban utaratibu uangalie pande zote mbili...
Nikuambie jambo? Ukitaka kuwa na amani kwenye shughuli za humu duniani ambazo zimesajiliwa kwa mujibu wa sheria, fanya hivi; tekeleza Sheria na ukiona changamoto Rudi kwa aliyekusajili toa maoni. Ukianza kufanya kinyume na sheria wakati umepewa dhamana ya kutoa huduma hiyo na Sheria husika, basi ujue unatafuta changamoto zaidi ukishtakiwa.Serikali ni 1 kimsingi serikali iheshimu biashara ya daladala
Wanafunzi wapewe nauli kamili na wazazi wao au wasomee shule za karibu na nyumbani
Wazazi tujifunze kuwajibika Kwa watoto wetu
Mtoto ni wako unataka asafiri Bure,
Hakuna kuogopa, Serikali iwajibike kwa hili, eti LATRA wawaonee wamiliki wa dala dala kisa wanafunzi, khaaahV8 linapita na mtu mmoja ....
Wanataka daladala isombe wanafunzi...
Serikali inakimbia majukumu yake inatafutia wa kumtupia lawama....
Hiyo shughuli umeisajili au ni bubu?Shughulikien mwendokas kasi kwanza achen uswahili nyie kizimkazi gang
Hiyo shughuli ndugu yangu ni bubu au umeisajili?Hakuna kuogopa, Serikali iwajibike kwa hili, eti LATRA wawaonee wamiliki wa dala dala kisa wanafunzi, khaaah
Bajeti kila siku ni mashangingi ya kukaa hao viongozi, na huku mshahara na posho wanapata, kwann wasinunue kwa pesa zao?
Pesa za umma zinaliwa na watu wachache wenye madaraka, huku wananchi wakiteseka na kukomoka vibaya, dadeki hakuna kuchekeana hapa, Serikali hili jukumu ni lenu. Hakuna wa kumtupia, WAJIBIKENI
Huyo mtoto akisha soma na akafanikiwa utampelekea pesa ya Shukrani huyo mwenye gari ambaye alikuwa anakubebea mtoto wako bei sawa na bure?We khanisi lazima utetee unyanyasaji kwa watoto!
Shughuli gani mayoo waneHiyo shughuli umeisajili au ni bubu?
Kwahiyo kwa kuwa imesajiriwa ndo nini? Na huo usajiri wa hizo dala dala ni kubeba abiria, au wanafunzi?Hiyo shughuli ndugu yangu ni bubu au umeisajili?