Madai ya Wanafunzi wa Rutabo kupewa chakula kidogo, Afisa Elimu asema 'tatizo ni siku ya Wali na Nyama'

Madai ya Wanafunzi wa Rutabo kupewa chakula kidogo, Afisa Elimu asema 'tatizo ni siku ya Wali na Nyama'

Kwahio hawakosi bali wanapata / wanataka wapate zaidi au wengine wanaiba ili wengine wasipate...
Bweni ukizubaa utakosa chakula kila siku. Kimsingi wanapata ila hawatosheki kutokana na wao kuhitaji zaidi. Nilipo kwa sasa Huwa tunalisha watu 700 kwa siku,tatizo huwa kwenye wali nyama ambapo walaji Huwa hawatosheki
 
Ufisadi ulianza muda mrefu kumbe sio tu kwenye familiya
Mimi kila siku nasema wizi ufisadi kwa Tanzania, unaanzia ngazi ya familia
Kila kona Tanzania hii kuna vifisadi underground na vingi vinavyotokea familia za pangu pakavu, tia mchuzi
Hivi vikipata nafasi huwa vinafanya kweli
 
Back
Top Bottom