Bweni ukizubaa utakosa chakula kila siku. Kimsingi wanapata ila hawatosheki kutokana na wao kuhitaji zaidi. Nilipo kwa sasa Huwa tunalisha watu 700 kwa siku,tatizo huwa kwenye wali nyama ambapo walaji Huwa hawatosheki
Mimi kila siku nasema wizi ufisadi kwa Tanzania, unaanzia ngazi ya familia
Kila kona Tanzania hii kuna vifisadi underground na vingi vinavyotokea familia za pangu pakavu, tia mchuzi
Hivi vikipata nafasi huwa vinafanya kweli