Hizi siyo tuhuma, ndicho kilichoyokea. Magaidi wa USMSHO walikuwa tayari wametangaza vita - ua, chinja, kamata, chinja, kila wanapoona kadacwa CCM au Polisi. Hii iko wazi inajulikana, CUF walikuwa hawaguswi na CHADEMA hawana interest na maeneo yaliyo nyuma kielimu na kimaendeleo. Ilikuwa ema zangu ama zako, walianzia Tanga mapangoni, wakaja Ukonga, wakaenda Kisarawe. UAMSHO tangu Zanzibar ndiyo silaha zao kutumia watu na misikiti. Bila maamuzi magumu CCM na Polisi wangefutika duniani.Hizi tuhuma ni nzito sana.
[emoji116]View attachment 2545588