Madai ya Zitto ya vijana wa Usalama wa Taifa kuua viongozi wa dini msikitini ni mazito sana. Ukweli ujulikane isijekuwa anataka sifa za kiha

Hizi tuhuma ni nzito sana.
[emoji116]View attachment 2545588
Hizi siyo tuhuma, ndicho kilichoyokea. Magaidi wa USMSHO walikuwa tayari wametangaza vita - ua, chinja, kamata, chinja, kila wanapoona kadacwa CCM au Polisi. Hii iko wazi inajulikana, CUF walikuwa hawaguswi na CHADEMA hawana interest na maeneo yaliyo nyuma kielimu na kimaendeleo. Ilikuwa ema zangu ama zako, walianzia Tanga mapangoni, wakaja Ukonga, wakaenda Kisarawe. UAMSHO tangu Zanzibar ndiyo silaha zao kutumia watu na misikiti. Bila maamuzi magumu CCM na Polisi wangefutika duniani.
 
Hii Tag ya kuwaita watu magaidi ni shida sana, Mbowe aliitwa gaidi lakini hakuwa gaidi.
 
Kwa mazingira yalivyo sasa,hili linawezekana.Pasipo na uadilifu kila aina ya udhalimu na ubazazi hushika hatamu.
 
Kwa hiyo mjerumani hakuwa mkoloni Tanganyika na hakuna shule zilizojengwa wakati mjerumani anatawala!?..punguza mihemko,neno shule ni neno la kijerumani
Shule ya mjerumani ni Tanga Tech. Mjerumani hakuja kutawala Tanganyika Bali alikuja kuvuna raw material. Hakuwa na interest ya kuendeleza Tanganyika. Alifanya kitu kinaitwa military state. Ngome Iringa, Tabora, Lushoto, Liwale. Huko alipata upinzani mkubwa mno. Alitawala kwa mkono wa chuma. Shule zimejengwa na Waingereza. Tabora boys, then wamisionari wakanenga Kibosho girls, Ilboru, kina karatu na nyinginezo. Halafu hoja ya Nyerere kutaifisha shule za kikristo ili kuzuia waislam kujenga zao namuunga mkono. Umoja wa kitaifa tulionao usingekuwepo kama kila dini ingeanzisha shule zake wenyewe. Popote penye uislam unataka ujitokeze juu uongoze. Kwenye nchi changa isiyo na misingi ni hatari mno. Ushajiuliza kwa nini wakimbizi wengi wa nchi za Afrika magharibi Japo ni waislam Ila hawazamii Saudi Arabia, UAE au Pakistani au turkiye wanakimbilia ujerumani, ufaransa na uingereza? Wanajuana itikadi zao. Mshia na msunni hawawezi Kaa chungu Moja sembuse ambao hawajasoma? Kwenye elimu Nampa Nyerere big up. Alifikiria 1000 years.
 
Kama ulikuwepo Lindi/Mtwara enzi hizo basi hauwezi kumpinga zitto maana watu waliona! Siyo uongo mimi jamaa yangu alikuwepo enzi mtiti huo unatokea "vyombo vya ulinzi" waliingia msikitini na kuleta taharuki.
Je hakuwa na silaha msikitini?
 
Shule ya mjerumani ni Tanga Tech. Mjerumani hakuja kutawala Tanganyika Bali alikuja kuvuna raw material. Hakuwa na interest ya kuendeleza Tanganyika. Alifanya kitu kinaitwa military state. Ngome Iringa, Tabora, Lushoto, Liwale. Huko alipata upinzani mkubwa mno. Alitawala kwa mkono wa chuma. Shule zimejengwa na Waingereza. Tabora boys, then wamisionari wakanenga Kibosho girls, Ilboru, kina karatu na nyinginezo. Halafu hoja ya Nyerere kutaifisha shule za kikristo ili kuzuia waislam kujenga zao namuunga mkono. Umoja wa kitaifa tulionao usingekuwepo kama kila dini ingeanzisha shule zake wenyewe. Popote penye uislam unataka ujitokeze juu uongoze. Kwenye nchi changa isiyo na misingi ni hatari mno. Ushajiuliza kwa nini wakimbizi wengi wa nchi za Afrika magharibi Japo ni waislam Ila hawazamii Saudi Arabia, UAE au Pakistani au turkiye wanakimbilia ujerumani, ufaransa na uingereza? Wanajuana itikadi zao. Mshia na msunni hawawezi Kaa chungu Moja sembuse ambao hawajasoma? Kwenye elimu Nampa Nyerere big up. Alifikiria 1000 years.
Wewe mjinga tu mmoja,pugu kajenga nani!?..mjerumani ndiye aliyeleta neno shulu(schule) halafu unasema hajajenga shule!?..jumbe na liwali roles zao zilikua zipi kwenye Serikali ya kijerumani!?.. mjerumani alipata vipi clerks!?.. unasema hakuja kutawala wakati Tanganyika ndiyo nchi aliyoitolea macho na aliyoipenda kuifanya koloni!!..hakuna mkoloni ambaye hakufata rasilimali,ukoloni ulilenga kusimamia unyonyaji wa rasilimali kwa makampuni ya kizungu,kuhusu shule za dini siyo zote za kanisa zilizochukuliwa,so umekubali kuwa alikua mdini na mission za kupromote dini yake kwa kuukandamiza uislam,maana asingeukandamiza Leo taswira ingekua tofauti
 
Kama ni ya KWELI Hayo!

Bas yalifanyika KWA ajili ya usalama wa Jamhuri!

Huwa nawaambia wadogo zangu huwezi Kuwa mkristo kuliko warumi wala kuwa muislamu kuliko waarabu!

Dini hizi zimekuja Africa karne ya 18 yaani 2023 -1800=223 YAANI Africa tuna Miaka 223 Baada ya Dini kuwepo!ina Maana tuliishi Miaka 1800 bila Dini na Maisha yalienda VIZURI!

Kifupi

Tuache ujinga wa Imani kali za KIDINI!
 
Kwanza pole kwa hasira. Mimi sijakutukana. Jibu hoja bila matusi. Kama ulienda darasani ukaisoma historian ya Tanganyika vizuri mjerumani alihangaika kutengeneza uwezo wa kuvuna. Reli na miundombinu ya bandari. Uwekezaji wake kwenye elimu na Nyenzo nyingine za kiutawala ulikua mdogo. Alitawala na wataalamu kutoka kwake. Alisupress machifu maana walimpinga mno. Refer alochokifanya huko Liwale baada ya kuanza maji maji. Alianzisha manamba sio kwa ajili ya kuwasomesha. Acha matusi bro.
 
N
anza pole kwa hasira. Mimi sijakutukana. Jibu hoja bila matusi. Kama ulienda darasani ukaisoma historian ya Tanganyika vizuri mjerumani alihangaika kutengeneza uwezo wa kuvuna. Reli na miundombinu ya bandari. Uwekezaji wake kwenye elimu na Nyenzo nyingine za kiutawala ulikua mdogo. Alitawala na wataalamu kutoka kwake. Alisupress machifu maana walimpinga mno. Refer alochokifanya huko Liwale baada ya kuanza maji maji. Alianzisha manamba sio kwa ajili ya kuwasomesha. Acha matusi bro.
Neno shule limetoka wapi!? Pugu alijenga nani!?
 
M

Mpaka 1914 palikua na shule 99 za serikali ya kijerumani na 1852 za wamisionari,zikitoa elimu kwa wanafunzi zaidi ya laki mbili na kumi,halafu unasema mjerumani hakujenga shule,narudia acha ujinga
 
Kama ni ya KWELI Hayo!

Bas yalifanyika KWA ajili ya usalama wa Jamhuri!

Huwa nawaambia wadogo zangu huwezi Kuwa mkristo kuliko warumi wala kuwa muislamu kuliko waarabu!

Dini hizi zimekuja Africa karne ya 18 yaani 2023 -1800=223 YAANI Africa tuna Miaka 223 Baada ya Dini kuwepo!ina Maana tuliishi Miaka 1800 bila Dini na Maisha yalienda VIZURI!

Kifupi

Tuache ujinga wa Imani kali za KIDINI!
Kakudanganya nani uislam umekuja afrika 1800s!?..acha kupotosha watoto,ibn batuta kapita mwambao wa pwani ya afrika mashariki mwaka 1300 na kakuta uislam upo kilwa
 
Back
Top Bottom