Nikwamba hapa tukimwaga nondo tutaanza kuonana tunajua sana.Halafu hata misikitin humo humo wengi huchongeana kwa husuda wivu ama chuki binafsi.
Chief, vita ni vita. Tusidanganyane wala usidanganywe na anayetumia dini kuficha uovu wake. Uovu ni uovu tu. Na usidhani hawakujaribu kuwashika au kuwapata nje ya hapo. Pia adui aliye na silaha habembelezwi.Hata iweje,kuingia na viatu msikitini watu wakifanya Ibada Kisha kumpiga mtu risasi ibadani ni ufedhuli,kamfuatilia kote huko hakumpiga risasi kaenda mpigia msikitini
Hizi ni pumbaChief, vita ni vita. Tusidanganyane wala usidanganywe na anayetumia dini kuficha uovu wake. Uovu ni uovu tu. Na usidhani hawakujaribu kuwashika au kuwapata nje ya hapo. Pia adui aliye na silaha habembelezwi.
Endelea kudhani ni pumba. Ila jua wewe ndo hujui kitu sasa.Hizi ni pumba
Umeleta tweet ya mwaka gani?Hizi tuhuma ni nzito sana.
👇View attachment 2545588
Kuna hukumu zingine hazihitaji mahakama,mana hayo magaidi huwa yanaua watu bila kuwasikiliza kwanini yao yasikilizwe?
Shida mtoa taarifa haaminiki. Lakini sote tunajua kilichokuwa kinaendelea huko kibiti.Zikija habar zichunguzeni kupata ukweli wake na Sio kumshambulia mtoa habar.
Tusiangalie nani kasema Bali tuchunguze alichosema kama ni uongo tumpuuze.
Lini?
Ukanda na ukabilaKwani Zito ni muha au mmanyema?
We mpuuzi nani kakuambia uchangie huu uzi wakati una avatar ya kinazi.?Hii habari si ya kitambo sana. Imeletwa humu tena ili iweje?? CHADEMA walipoomba waijadili bungeni kwa dhararu si walikataliwa na kuonekana ni watu wataka sifa??
Makelele haya yangepigwa wakati tukio lilipotokea zama na enzi za mwendazake. Kulisema hili sasa ni kutaka sifa tu za kisiasa.
Huyu jamaa huwa anakuwa mchocheziHizi tuhuma ni nzito sana.
👇View attachment 2545588
Acha kusambaza uzushi wa kidini wewe. Chuki ya mtu dhidi ya imani ya mtu mwingine haitokani na mafundisho bali mtazamo binafsi. Wewe unawajua ni kina nani walioingia msikitini??Ndiyo uingie na viatu msikitini na kumpiga mtu risasi wakiwa kwenye ibada!?..haikuwezekana kumkamata baada au kabla ya hapo!?..hao maafisa usalama itakua walikua wavaa msalaba,maana wamelelewa kuchukia na kudharau waislam tangu wangali wadogo
Kamanda mwenzangu mbona unamchukia sana hayati? Acha chuki zisizo na tija.Hamna cha uchaguzi maana ni mambo yanayofahamika hadi waliotekeleza, ila mtoa amri ndio hayuko duniani.
kusoma hujui na hata picha unashindwa kuitafsiri??We mpuuzi nani kakuambia uchangie huu uzi wakati una avatar ya kinazi.?