Madai ya Zitto ya vijana wa Usalama wa Taifa kuua viongozi wa dini msikitini ni mazito sana. Ukweli ujulikane isijekuwa anataka sifa za kiha

Madai ya Zitto ya vijana wa Usalama wa Taifa kuua viongozi wa dini msikitini ni mazito sana. Ukweli ujulikane isijekuwa anataka sifa za kiha

Hata iweje,kuingia na viatu msikitini watu wakifanya Ibada Kisha kumpiga mtu risasi ibadani ni ufedhuli,kamfuatilia kote huko hakumpiga risasi kaenda mpigia msikitini
Chief, vita ni vita. Tusidanganyane wala usidanganywe na anayetumia dini kuficha uovu wake. Uovu ni uovu tu. Na usidhani hawakujaribu kuwashika au kuwapata nje ya hapo. Pia adui aliye na silaha habembelezwi.
 
Hizi ni pumba
 
Kuna hukumu zingine hazihitaji mahakama,mana hayo magaidi huwa yanaua watu bila kuwasikiliza kwanini yao yasikilizwe?

Ndio maana nasema usipomsikiliza mtu wakati wewe unavyo "vyombo" vya kusikiliza basi wewe ndiye gaidi mkubwa.
 
Hi dini inashida kutwa kulalamika kuwa mnaonewa kwa ugaidi mbona wakristo hawafanyiwi hivo, hata kikwete alidili nao vizuri tu licha ya kuwa mwislam, ogopa sana mwislam ambaye ana elim dini
 
Zikija habar zichunguzeni kupata ukweli wake na Sio kumshambulia mtoa habar.

Tusiangalie nani kasema Bali tuchunguze alichosema kama ni uongo tumpuuze.
Shida mtoa taarifa haaminiki. Lakini sote tunajua kilichokuwa kinaendelea huko kibiti.
 
Binafsi sijajua ni lini Ila Unaweza kuwa ni Planned kuwa wakati wa Mwendazake ndio anakuja kusema leo,Ili ionekane wakati wa Mwendazake kulikuwa na Ukiukwaji Mkubwa wa Haki za binadamu!
Sitishangaa Kusikia ni Wakati Uliopita!
kamwe jamaa hawezi kuongea kuwa ni wakati wa sasa hivi?
 
Hii habari si ya kitambo sana. Imeletwa humu tena ili iweje?? CHADEMA walipoomba waijadili bungeni kwa dhararu si walikataliwa na kuonekana ni watu wataka sifa??

Makelele haya yangepigwa wakati tukio lilipotokea zama na enzi za mwendazake. Kulisema hili sasa ni kutaka sifa tu za kisiasa.
 
We mpuuzi nani kakuambia uchangie huu uzi wakati una avatar ya kinazi.?
 
Ndiyo uingie na viatu msikitini na kumpiga mtu risasi wakiwa kwenye ibada!?..haikuwezekana kumkamata baada au kabla ya hapo!?..hao maafisa usalama itakua walikua wavaa msalaba,maana wamelelewa kuchukia na kudharau waislam tangu wangali wadogo
Acha kusambaza uzushi wa kidini wewe. Chuki ya mtu dhidi ya imani ya mtu mwingine haitokani na mafundisho bali mtazamo binafsi. Wewe unawajua ni kina nani walioingia msikitini??
 
Back
Top Bottom