Mr kenice
JF-Expert Member
- Mar 15, 2022
- 4,260
- 7,033
Nikwamba hapa tukimwaga nondo tutaanza kuonana tunajua sana.Halafu hata misikitin humo humo wengi huchongeana kwa husuda wivu ama chuki binafsi.
BAKWATA Kaa mbali na Hawa jamaa ni Usalama mtupuu