Madai ya Zitto ya vijana wa Usalama wa Taifa kuua viongozi wa dini msikitini ni mazito sana. Ukweli ujulikane isijekuwa anataka sifa za kiha

Wakati wa utaifishaji wa shule za kanisa, hizo shule zilijengwa wakati Nyerere akiwa kiongozi ama alizikuta. Alikuta na shule ngapi nyingine za Waislamu akazitaifisha? Yaani kuteuliwa Waziri Muislam unamaanisha waislam walikuwa hawasomi kwa kuwa kulikuwa hakuna waziri wa elimu muislam??

Hivi kabla ya Malima kuwa waziri wa elimu kulikuwa hakuna waislamu waliosoma? Yeye Profesa Malima alisoma enzi za Mwinyi akiwa Rais wa Tanzania??
 
Kama ulikuwepo Lindi/Mtwara enzi hizo basi hauwezi kumpinga zitto maana watu waliona! Siyo uongo mimi jamaa yangu alikuwepo enzi mtiti huo unatokea "vyombo vya ulinzi" waliingia msikitini na kuleta taharuki.
 
Kama huu mjadala ulizimwa kipindi kile, kuujadili sasa ni sahihi ili waathirika wapate haki yao.
Nakumbusha tu watu wakumbuke jinsi CHADEMA walivyosutwa walipotaka jambo la mauji msikitini lijadiliwe bungeni kwa dharura!!
 
Sema misikitini namo mna mambo mengi.

Wengine wanajifunza MICHEZO ya kikatoli mno judo, Taikondo nk.

VIONGOZI wa DINI ya MAKOBAZI kutembea na sime ni jadi Yao.
Nawale wenye jeshi lauokovu nahawaguswi wapo juu yasheria au kwakua ndy wenye nchi wengine tuishi kama wakimbizi kisa imani zetu?
 
Kama ulikuwepo Lindi/Mtwara enzi hizo basi hauwezi kumpinga zitto maana watu waliona! Siyo uongo mimi jamaa yangu alikuwepo enzi mtiti huo unatokea "vyombo vya ulinzi" waliingia msikitini na kuleta taharuki.
Hakuna anayepinga kwamba hilo jambo halijatokea. Swali la msingi hii habari ni ya kitambo sana, kwa nini inaletwa sasa!!
 
Punguza jazba,nimekueleza trick ya utaifishaji shule lengo lilikua nini,shule za kanisa zikijengwa kwa michango mbalimbali zikiwemo Kodi za serikali ya mkoloni iliyolipwa na raia
 
Hi dini inashida kutwa kulalamika kuwa mnaonewa kwa ugaidi mbona wakristo hawafanyiwi hivo, hata kikwete alidili nao vizuri tu licha ya kuwa mwislam, ogopa sana mwislam ambaye ana elim dini
Hizo nichuki tu dhidi yadini zawengine namfumo kristo uliojengeka nchini
 
Nawale wenye jeshi lauokovu nahawaguswi wapo juu yasheria au kwakua ndy wenye nchi wengine tuishi kama wakimbizi kisa imani zetu?
Jeshi la wokovu wanacheza Karate na Judo?? Yaani kuna watu udini umewajaa sana. Yaani hoja ya watu kuuawa msikitini mnaiacha mnaleta makorokoro yenu ya udini!!
 
Punguza jazba,nimekueleza trick ya utaifishaji shule lengo lilikua nini,shule za kanisa zikijengwa kwa michango mbalimbali zikiwemo Kodi za serikali ya mkoloni iliyolipwa na raia
Wewe wala hujui historia ya nchi yetu. Serikali shikizi ya Kikoloni Tanzania ilikuwa ni serikali ya kiprotestanti toka Uingireza, na shule nyingi za kanisa zilijengwa na Kanisa Katoliki. Hakuna mahusiano kati ya wakatoliki na waprotestitanti.

Hebu taja hizo shule zilizojengwa kwa kodi za serikali za kikoloni na kisha zikakabidhiwa kwa Kanisa!!
 
Kama ulikuwepo Lindi/Mtwara enzi hizo basi hauwezi kumpinga zitto maana watu waliona! Siyo uongo mimi jamaa yangu alikuwepo enzi mtiti huo unatokea "vyombo vya ulinzi" waliingia msikitini na kuleta taharuki.

Habari haina kizuizi kwamba ikishatokea na kuripotiwa basi isizungumzwe tena ,nakumbuka kampeni za 2020 za hashim rungwe zilitrend na issue za ubwabwa na juzi juzi tena baada ya kuhojiwa zikatrend tena issue za ubwabwa.

Kumbuka zitto juzi juzi tu alifanya mikutano huko kusini possible alizungumzia hiyo issue ,ni kama vile umzuie lissu kwenye mikutano yake asizungumzie kupigwa risasi kwasababu limetokea kitambo na pia alishaliongea huko nyuma.

Habari ni habari as long ilitokea anytime kaburi linaweza kufukuliwa.
 
Muongo na mzushi tu wewe

Ingekuwa ulichoandika ni kweli yule 'kichaa' wenu asingemuacha Zitto hai.
Kweli yule jamaa angemuita tu "Msaliti" na kesho yake watu wengekuwa wanaelekea Ujiji kwa ibada ya Mazishi!!
 
Kama unawasiliana/unashirikiana na makundi hatari kama bokoharam/Alshabab lazima wakufate tu.
Siku zote nasema ukijishughulisha na masuala nyeti ya kidola,utashughulikiwa kwa mkondo huohuo.
Mbona sisi wengine hatukamatwi na wala hatutekwi?.Ukichunguza hao watu ni lazima walikuwa wanafanya uhalifu au wanashirikia ana makundi ya kihalifu kutoka nje ya nchi.
 
Naona unaunga mkono Lissu kupigwa risasi 16 na Ben Saanane kutekwa na kupotezwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…