Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Wakati wa utaifishaji wa shule za kanisa, hizo shule zilijengwa wakati Nyerere akiwa kiongozi ama alizikuta. Alikuta na shule ngapi nyingine za Waislamu akazitaifisha? Yaani kuteuliwa Waziri Muislam unamaanisha waislam walikuwa hawasomi kwa kuwa kulikuwa hakuna waziri wa elimu muislam??Kutaifisha shule ilikua trick ya kuzuwia waislam kuwa na shule ili wadhibiti idadi ya waislam wasomi kupitia shule za umma, waislam walikua na Msuli wa pesa,kupitia eamws walijipanga kujenga taasisi za elimu,ili kuwadhibiti wasiwe wengi serikalini ndiyo akaja na huo mpango plus kuhakikisha wizara ya elimu inakua kigango Cha kanisa,kiasi padri chiwanga akawa Waziri wa elimu,ni mpaka 1987 mwinyi akamteua malima kuwa Waziri wa elimu kwa Mara ya kwanza tangu uhuru
Hivi kabla ya Malima kuwa waziri wa elimu kulikuwa hakuna waislamu waliosoma? Yeye Profesa Malima alisoma enzi za Mwinyi akiwa Rais wa Tanzania??