Kamanda mwenzangu mbona unamchukia sana hayati? Acha chuki zisizo na tija.
HaihalalishiKenya ndio walikuwa wanauwa hivi waumini
Wamewauwa sana kwa staili hii
Kwa hiyo mjerumani hakuwa mkoloni Tanganyika na hakuna shule zilizojengwa wakati mjerumani anatawala!?..punguza mihemko,neno shule ni neno la kijerumaniWewe wala hujui historia ya nchi yetu. Serikali shikizi ya Kikoloni Tanzania ilikuwa ni serikali ya kiprotestanti toka Uingireza, na shule nyingi za kanisa zilijengwa na Kanisa Katoliki. Hakuna mahusiano kati ya wakatoliki na waprotestitanti.
Hebu taja hizo shule zilizojengwa kwa kodi za serikali za kikoloni na kisha zikakabidhiwa kwa Kanisa!!
Nakudanganya wewe Bibi, kuwa na siku njema.Unamdanganya nani babu!!?
😀😀hivi kati ya waislam na wakristo ni nani aliyelelewa kuwachukia wenzie tangu angali mdogo?Ndiyo uingie na viatu msikitini na kumpiga mtu risasi wakiwa kwenye ibada!?..haikuwezekana kumkamata baada au kabla ya hapo!?..hao maafisa usalama itakua walikua wavaa msalaba,maana wamelelewa kuchukia na kudharau waislam tangu wangali wadogo
Kamuulize maria Nyerere bado yu hai😀😀hivi kati ya waislam na wakristo ni nani aliyelelewa kuwachukia wenzie tangu angali mdogo?
Acha ukabila we nguruweHizi tuhuma ni nzito sana.
👇View attachment 2545588
Kama waliouwawa walikuwa ni Adui wa Usalama wa Tanzania sioni tatizo ila kama Wameuwawa Kiuonevu naomba waliofanya hivyo nikirejea baadae hapa JamiiForums niambiwe kuwa na Wao Wameuwawa.Hizi tuhuma ni nzito sana.
👇View attachment 2545588
Mtetea mashoga na zitto wako wote ....dah.! Au basiZitto tapeli
Sasa alitaka wavue viatu ndipo wamkamate muhalifu?Hizi tuhuma ni nzito sana.
👇itakao wamkamate muhalifuView attachment 2545588
Upuuzi mtupu,Tz kuna hivyo vikundi?Kama unawasiliana/unashirikiana na makundi hatari kama bokoharam/Alshabab lazima wakufate tu.
Asiyejua maana haambiwi maana.Upuuzi mtupu,Tz kuna hivyo vikundi?
Moderator, piga ban huyuPumbavu
Ni sawa na kuuliza kuwa Mbona Hashim Rungwe hajapigwa risasi iweje Lissu?Mbona wanaosali Kariakoo hawauawi? Tafakari-Chukua hatua!
Hata yeye Zito, akishirikiana na waarifu anapotea, nampa tu kama inyo na anajua fika kitakachompata!
Hakuna wa kuwavulia viatu waarifu!
Lisu alikuwa anapewa hela na wana ACCASIA. Na pesa alikuwa anazipokelea Nairobi!Ni sawa na kuuliza kuwa Mbona Hashim Rungwe hajapigwa risasi iweje Lissu?