Madai ya Zitto ya vijana wa Usalama wa Taifa kuua viongozi wa dini msikitini ni mazito sana. Ukweli ujulikane isijekuwa anataka sifa za kiha

Madai ya Zitto ya vijana wa Usalama wa Taifa kuua viongozi wa dini msikitini ni mazito sana. Ukweli ujulikane isijekuwa anataka sifa za kiha

Wewe wala hujui historia ya nchi yetu. Serikali shikizi ya Kikoloni Tanzania ilikuwa ni serikali ya kiprotestanti toka Uingireza, na shule nyingi za kanisa zilijengwa na Kanisa Katoliki. Hakuna mahusiano kati ya wakatoliki na waprotestitanti.

Hebu taja hizo shule zilizojengwa kwa kodi za serikali za kikoloni na kisha zikakabidhiwa kwa Kanisa!!
Kwa hiyo mjerumani hakuwa mkoloni Tanganyika na hakuna shule zilizojengwa wakati mjerumani anatawala!?..punguza mihemko,neno shule ni neno la kijerumani
 
Ndiyo uingie na viatu msikitini na kumpiga mtu risasi wakiwa kwenye ibada!?..haikuwezekana kumkamata baada au kabla ya hapo!?..hao maafisa usalama itakua walikua wavaa msalaba,maana wamelelewa kuchukia na kudharau waislam tangu wangali wadogo
😀😀hivi kati ya waislam na wakristo ni nani aliyelelewa kuwachukia wenzie tangu angali mdogo?
 
Mbona wanaosali Kariakoo hawauawi? Tafakari-Chukua hatua!

Hata yeye Zito, akishirikiana na waarifu anapotea, nampa tu kama inyo na anajua fika kitakachompata!

Hakuna wa kuwavulia viatu waarifu!
 
Habari hizi Mbunge Bwege aliongelea Bungeni na hata akataja namba za magari ya Usalama wa Taifa na mashehe walio pigwa risasi ndani ya msikiti
Waziri Mkuchika hakukanusha.
Sio habari mpya
 
Back
Top Bottom