Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
Hizi tuhuma ni nzito sana.
👇
👇
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaweza kuwa kweliHizi tuhuma ni nzito sana.
👇View attachment 2545588
Mamlaka ipi au zipiHatari sana! Kama kuna ukweli ndani yake mamlaka zichukue hatua stahiki.
Dah!.. hizi tuhuma zinahitaji uchunguzi kamili.... anyway..... Sheikh Ponda alishawahi kulizungumzia hili tukio miaka kadhaa nyuma.Hizi tuhuma ni nzito sana.
👇View attachment 2545588
Kusema lolote hata kupotosha umma?Lakini yupo kwenye jukwaa la kisiasa ambalo unaweza kusema lolote ili kupata attention ya kisiasa.
Pia unaweza kuwa kweli lakini ametia chumvi sana, kwa hiyo afisa usalama avue viatu wakati akitekeleza majukumu yake?
Mpaka hao viongozi wanajiwa na maafisa wa usalama hapo kulikua hakuna usalama kwa hiyo taratibu nyingine zinakuwa na udhuru.
Kweli ndugu.Ha! Athibitishe! Hana la kujibu kweli kulingana na kauli hii!!? Huu ni uchonganishi, kauli hii inaweza zua maafaView attachment 2545590
Itakuwa anazungumzia wakati wa raisi Kikwete aliyekuwa rafiki mkubwa wa Marekani.Tulisikia masheikh na waumini wengi walipotea na wengine walifanyiwa kama anavyosema ZittoHizi tuhuma ni nzito sana.
👇View attachment 2545588
Huko alikokutaja kushuka mpaka tunduru na pwani,ilikua ukiwa na ndevu 2017 na msimamo katika dini basi ungebebwa na pengine usirudiTuhuma nzito sana
Japo hata video alichoongea maana siamini bado kama tumekuwa barbarian state
Ndiyo uingie na viatu msikitini na kumpiga mtu risasi wakiwa kwenye ibada!?..haikuwezekana kumkamata baada au kabla ya hapo!?..hao maafisa usalama itakua walikua wavaa msalaba,maana wamelelewa kuchukia na kudharau waislam tangu wangali wadogoKama ndio walikuwa wanaratibu vikundi vya kigaidi kwa mgongo wa dini kule Mtwara na Kibiti ilikuwa haki Yao kufanyiwa Hivi. Amani, Umoja na Mshikamano wa nchi YETU ni muhimu kuliko hivyo vyeo vya kisiasa mnavyovitafuta. Sidhani kama nchi hii Ina maafisa Usalama mamumiani yaende msikitini na kukamata watu bila makosa. Ila haka kaha ni kadini na kaongo kaongo sana sio ka kukaamini.