Madai ya Zitto ya vijana wa Usalama wa Taifa kuua viongozi wa dini msikitini ni mazito sana. Ukweli ujulikane isijekuwa anataka sifa za kiha

Kamanda Asiyechoka

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2020
Posts
3,315
Reaction score
5,058
Hizi tuhuma ni nzito sana.
👇
Screenshot_20230311-082258.jpg
 
Lakini yupo kwenye jukwaa la kisiasa ambalo unaweza kusema lolote ili kupata attention ya kisiasa.

Pia unaweza kuwa kweli lakini ametia chumvi sana, kwa hiyo afisa usalama avue viatu wakati akitekeleza majukumu yake?
Mpaka hao viongozi wanajiwa na maafisa wa usalama hapo kulikua hakuna usalama kwa hiyo taratibu nyingine zinakuwa na udhuru.
 
Ha! Athibitishe! Hana la kujibu kweli kulingana na kauli hii!!? Huu ni uchonganishi, kauli hii inaweza zua maafa
JamiiForums736821199.jpg
 
Lakini yupo kwenye jukwaa la kisiasa ambalo unaweza kusema lolote ili kupata attention ya kisiasa.

Pia unaweza kuwa kweli lakini ametia chumvi sana, kwa hiyo afisa usalama avue viatu wakati akitekeleza majukumu yake?
Mpaka hao viongozi wanajiwa na maafisa wa usalama hapo kulikua hakuna usalama kwa hiyo taratibu nyingine zinakuwa na udhuru.
Kusema lolote hata kupotosha umma?
 
Kama ndio walikuwa wanaratibu vikundi vya kigaidi kwa mgongo wa dini kule Mtwara na Kibiti ilikuwa haki Yao kufanyiwa Hivi. Amani, Umoja na Mshikamano wa nchi YETU ni muhimu kuliko hivyo vyeo vya kisiasa mnavyovitafuta. Sidhani kama nchi hii Ina maafisa Usalama mamumiani yaende msikitini na kukamata watu bila makosa. Ila haka kaha ni kadini na kaongo kaongo sana sio ka kukaamini.
 
Ndiyo uingie na viatu msikitini na kumpiga mtu risasi wakiwa kwenye ibada!?..haikuwezekana kumkamata baada au kabla ya hapo!?..hao maafisa usalama itakua walikua wavaa msalaba,maana wamelelewa kuchukia na kudharau waislam tangu wangali wadogo
 
Back
Top Bottom