BICHWA KOMWE -
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 6,373
- 16,073
Zitto tapeli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sisi Chadema hatuna siasa kama hiziNdio maana haswa ya siasa, in short mwanasiasa ni mpotoshaji nyakati zote, ulipo zuka ule msemo wa mwanasiasa akikuambia usiku mwema toka nje kaangalie kama jua limezama kweli , unadhani ulikuja kwa bahati mbaya? Hapana kwa sababu mwanasiasa ni muongo na mzushi
Nashangaa hata mimi. Huyu jamaa ndio maana tulimfukuza ChademaLini?
Kupenda ujiko hewaSifa za kiha ndio sifa gani??!!
Pwani yote ya bahari ya Hindi kuanzia Somalia, Mombasa Hadi Mozambique imetekwa na magaidi. Na wanafanya jitihada kukamata pwani kwa upande wa Tanzania na hutumia misikiti kuhifadhia silaha na kuenesa ideology ya ugaidi. Wauwawe tu
Kupenda ujiko hewa
PumbavuUjiko hewa (ujiko usiokuwepo)??!--- kwahiyo Waha wanapenda ujiko usiokuwepo??
Lakini yupo kwenye jukwaa la kisiasa ambalo unaweza kusema lolote ili kupata attention ya kisiasa.
Pia unaweza kuwa kweli lakini ametia chumvi sana, kwa hiyo afisa usalama avue viatu wakati akitekeleza majukumu yake?
Mpaka hao viongozi wanajiwa na maafisa wa usalama hapo kulikua hakuna usalama kwa hiyo taratibu nyingine zinakuwa na udhuru.
Tulipita ktk mapango ya kolelo kama nchiHuko alikokutaja kushuka mpaka tunduru na pwani,ilikua ukiwa na ndevu 2017 na msimamo katika dini basi ungebebwa na pengine usirudi
Tupe ufafanuziUsipokua muislam huez elewa.
Mimi binafsi niliwahi kamatwa bila kosa nkafikoshwa tazara from kahama kisa tu tuna nguv kubwa ya imaani.Tupe ufafanuzi