Madai ya Zitto ya vijana wa Usalama wa Taifa kuua viongozi wa dini msikitini ni mazito sana. Ukweli ujulikane isijekuwa anataka sifa za kiha

Madai ya Zitto ya vijana wa Usalama wa Taifa kuua viongozi wa dini msikitini ni mazito sana. Ukweli ujulikane isijekuwa anataka sifa za kiha

Ndio maana haswa ya siasa, in short mwanasiasa ni mpotoshaji nyakati zote, ulipo zuka ule msemo wa mwanasiasa akikuambia usiku mwema toka nje kaangalie kama jua limezama kweli , unadhani ulikuja kwa bahati mbaya? Hapana kwa sababu mwanasiasa ni muongo na mzushi
Sisi Chadema hatuna siasa kama hizi
 
Pwani yote ya bahari ya Hindi kuanzia Somalia, Mombasa Hadi Mozambique imetekwa na magaidi. Na wanafanya jitihada kukamata pwani kwa upande wa Tanzania na hutumia misikiti kuhifadhia silaha na kuenesa ideology ya ugaidi. Wauwawe tu


Ugaidi mbaya ni kumuua mtu anayeshukiwa ugaidi bila kumfikisha katika vyombo vya haki ili apate haki yake kwa mujibu wa sheria,
 
Lakini yupo kwenye jukwaa la kisiasa ambalo unaweza kusema lolote ili kupata attention ya kisiasa.

Pia unaweza kuwa kweli lakini ametia chumvi sana, kwa hiyo afisa usalama avue viatu wakati akitekeleza majukumu yake?
Mpaka hao viongozi wanajiwa na maafisa wa usalama hapo kulikua hakuna usalama kwa hiyo taratibu nyingine zinakuwa na udhuru.

Kama rekodi zinaoonyesha kitengo hicho kuhusika kwenye mauaji in the past why not now?
 
Zitto anataka kuleta machafuko Tanganyika halafu akimbilie kwao Burundi
 
Kilwa kibiti ikwiriri miskiti hiyo imetumika sana na yale magaidi yaliyokua yakiua watu kibiti,hii nchi ni ya watanzania,zito acha kutafuta attention za kisiasa,magaidi lazima ya uwawe.
 
Tupe ufafanuzi
Mimi binafsi niliwahi kamatwa bila kosa nkafikoshwa tazara from kahama kisa tu tuna nguv kubwa ya imaani.
Ni bahat Leo kuwepo wenzangu mpka Leo hawajulikani walipo na wengine mashehe nlishuhudia wakifa mbele yangu.

Narudia Tena usipokua muislam huez elewa.

Ukisali sana utaitwa gaidi tuuu.
 
Back
Top Bottom