Madai ya Zitto ya vijana wa Usalama wa Taifa kuua viongozi wa dini msikitini ni mazito sana. Ukweli ujulikane isijekuwa anataka sifa za kiha

Madai ya Zitto ya vijana wa Usalama wa Taifa kuua viongozi wa dini msikitini ni mazito sana. Ukweli ujulikane isijekuwa anataka sifa za kiha

Mimi binafsi niliwahi kamatwa bila kosa nkafikoshwa tazara from kahama kisa tu tuna nguv kubwa ya imaani.
Ni bahat Leo kuwepo wenzangu mpka Leo hawajulikani walipo na wengine mashehe nlishuhudia wakifa mbele yangu.

Narudia Tena usipokua muislam huez elewa.

Ukisali sana utaitwa gaidi tuuu.
Unadhani kwanini wewe uliachiwa wakati wenzio wakiuliwa na kupotelea kusikojulikana?
 
Acha kusambaza uzushi wa kidini wewe. Chuki ya mtu dhidi ya imani ya mtu mwingine haitokani na mafundisho bali mtazamo binafsi. Wewe unawajua ni kina nani walioingia msikitini??
Ukisikia Pana uchaguzi serikali ya wanafunzi vyuoni nenda kaangalie washika nyadhifa baadae serikalini walivyojaa chuki za dini,wingi ule hauji automatically Bali kwa kurithishana
 
N
hani kwanini wewe uliachiwa wakati wenzio wakiuliwa na kupotelea kusikojulikana?i
Swali la kipuuzi kwelikweli
 
Ukisikia Pana uchaguzi serikali ya wanafunzi vyuoni nenda kaangalie washika nyadhifa baadae serikalini walivyojaa chuki za dini,wingi ule hauji automatically Bali kwa kurithishana
Tafuta hotuba ya Mwalimu ya mwaka 1969 kuhusu udini na ukabila. Utagundua hoja nyingi za udini Tanzania ni hisia tu za watu na wengine wanazitumia kujipatia manufaa wenyewe.
 
JPM alikuwa katili sana, hakuheshimu hata nyumba za ibada na maisha ya binadamu.

Sasa sijui anamwambia nini Mungu huko.
Unalala Hulu unajamba usiku Kwa sababu ya amabi alafu unaleta upupu hapa,. Hivi unajua magaidi wa kibiti wasingeshughulikiwa labda saa hizi ungekuwa mkimbizi
 
Tafuta hotuba ya Mwalimu ya mwaka 1969 kuhusu udini na ukabila. Utagundua hoja nyingi za udini Tanzania ni hisia tu za watu na wengine wanazitumia kujipatia manufaa wenyewe.
Mwalimu si ndiyo mdini namba moja,tofauti kwa Sasa ni waislam nao wamejua kumbe wenzao Wana agenda za udini nao wanafanya udini kila wapatapo fursa
 
Mwalimu si ndiyo mdini namba moja,tofauti kwa Sasa ni waislam nao wamejua kumbe wenzao Wana agenda za udini nao wanafanya udini kila wapatapo fursa
Angekuwa mdini angetaifisha mashule na Hospitali za kanisa na kuzifanya za umma?? Taja shule yoyote maarufu kwenye mkoa wowote ule ambayo hapo awali haikuwa ya Kanisa!!??

Mwalimu hakuwa mdini!!
 
Kaa ukijua intelligence ya nchi yako pendwa haijui kitu kabisa .
Tunazidiwa hata na ndugu zetu Rwanda Wana Usalama wenye uwezo mkubwa WA kumfatilia mtuhumiwa mbali na kuua msikiti mzima.

Kubali lataa Usalama hawajui mbinu na hawana uwezo WA kukamata gaidi ila huu hovyohovyo Ili kurudhisha nafa zao
Kwa sababu walikuachia ndio unawakejeli
 
Hamna cha uchaguzi maana ni mambo yanayofahamika hadi waliotekeleza, ila mtoa amri ndio hayuko duniani.
Kama yalikuwa magaidi ya kiislamu kama yale kule Mozambique, nawapa heko hao vijana wa usalama
 
Hi dini inashida kutwa kulalamika kuwa mnaonewa kwa ugaidi mbona wakristo hawafanyiwi hivo, hata kikwete alidili nao vizuri tu licha ya kuwa mwislam, ogopa sana mwislam ambaye ana elim dini
Imagine kama angekuwa JPM ndio alikamata wale wa uamusho ingekuwa je?
 
Angekuwa mdini angetaifisha mashule na Hospitali za kanisa na kuzifanya za umma?? Taja shule yoyote maarufu kwenye mkoa wowote ule ambayo hapo awali haikuwa ya Kanisa!!??

Mwalimu hakuwa mdini!!
Kutaifisha shule ilikua trick ya kuzuwia waislam kuwa na shule ili wadhibiti idadi ya waislam wasomi kupitia shule za umma, waislam walikua na Msuli wa pesa,kupitia eamws walijipanga kujenga taasisi za elimu,ili kuwadhibiti wasiwe wengi serikalini ndiyo akaja na huo mpango plus kuhakikisha wizara ya elimu inakua kigango Cha kanisa,kiasi padri chiwanga akawa Waziri wa elimu,ni mpaka 1987 mwinyi akamteua malima kuwa Waziri wa elimu kwa Mara ya kwanza tangu uhuru
 
Ugaidi mbaya ni kumuua mtu anayeshukiwa ugaidi bila kumfikisha katika vyombo vya haki ili apate haki yake kwa mujibu wa sheria,
Hao hawana ushahidi wa moja kwa moja. Ukiwaleta kisheria ujue umewakosa na wakiachwa wataongezeka mara tano.

We unasikia tena habari yao kibiti? Kama wao sio wahusika kwa nini kibiti imetulia?
 
Hii habari si ya kitambo sana. Imeletwa humu tena ili iweje?? CHADEMA walipoomba waijadili bungeni kwa dhararu si walikataliwa na kuonekana ni watu wataka sifa??

Makelele haya yangepigwa wakati tukio lilipotokea zama na enzi za mwendazake. Kulisema hili sasa ni kutaka sifa tu za kisiasa.
Kama huu mjadala ulizimwa kipindi kile, kuujadili sasa ni sahihi ili waathirika wapate haki yao.
 
Back
Top Bottom