Asalamaleko
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 2,699
- 7,726
zitto asipokunywa dawa huwa anaropoka kama mwendawazim... Virus vya ukimwi ni hatar vijana tumieni condoms
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unadhani kwanini wewe uliachiwa wakati wenzio wakiuliwa na kupotelea kusikojulikana?Mimi binafsi niliwahi kamatwa bila kosa nkafikoshwa tazara from kahama kisa tu tuna nguv kubwa ya imaani.
Ni bahat Leo kuwepo wenzangu mpka Leo hawajulikani walipo na wengine mashehe nlishuhudia wakifa mbele yangu.
Narudia Tena usipokua muislam huez elewa.
Ukisali sana utaitwa gaidi tuuu.
Ukisikia Pana uchaguzi serikali ya wanafunzi vyuoni nenda kaangalie washika nyadhifa baadae serikalini walivyojaa chuki za dini,wingi ule hauji automatically Bali kwa kurithishanaAcha kusambaza uzushi wa kidini wewe. Chuki ya mtu dhidi ya imani ya mtu mwingine haitokani na mafundisho bali mtazamo binafsi. Wewe unawajua ni kina nani walioingia msikitini??
Tafuta hotuba ya Mwalimu ya mwaka 1969 kuhusu udini na ukabila. Utagundua hoja nyingi za udini Tanzania ni hisia tu za watu na wengine wanazitumia kujipatia manufaa wenyewe.Ukisikia Pana uchaguzi serikali ya wanafunzi vyuoni nenda kaangalie washika nyadhifa baadae serikalini walivyojaa chuki za dini,wingi ule hauji automatically Bali kwa kurithishana
Unalala Hulu unajamba usiku Kwa sababu ya amabi alafu unaleta upupu hapa,. Hivi unajua magaidi wa kibiti wasingeshughulikiwa labda saa hizi ungekuwa mkimbiziJPM alikuwa katili sana, hakuheshimu hata nyumba za ibada na maisha ya binadamu.
Sasa sijui anamwambia nini Mungu huko.
Mwalimu si ndiyo mdini namba moja,tofauti kwa Sasa ni waislam nao wamejua kumbe wenzao Wana agenda za udini nao wanafanya udini kila wapatapo fursaTafuta hotuba ya Mwalimu ya mwaka 1969 kuhusu udini na ukabila. Utagundua hoja nyingi za udini Tanzania ni hisia tu za watu na wengine wanazitumia kujipatia manufaa wenyewe.
Nini wewe pimbi.kusoma hujui na hata picha unashindwa kuitafsiri??
Hii "Comment" yako inaonesha hujui mambo mengi mojawapo ni hili ya hii "Avatar".
Anachochea hisia za udini kama mkakati kupata uugwaji mkono.Hizi tuhuma ni nzito sana.
👇View attachment 2545588
Angekuwa mdini angetaifisha mashule na Hospitali za kanisa na kuzifanya za umma?? Taja shule yoyote maarufu kwenye mkoa wowote ule ambayo hapo awali haikuwa ya Kanisa!!??Mwalimu si ndiyo mdini namba moja,tofauti kwa Sasa ni waislam nao wamejua kumbe wenzao Wana agenda za udini nao wanafanya udini kila wapatapo fursa
Kwa sababu walikuachia ndio unawakejeliKaa ukijua intelligence ya nchi yako pendwa haijui kitu kabisa .
Tunazidiwa hata na ndugu zetu Rwanda Wana Usalama wenye uwezo mkubwa WA kumfatilia mtuhumiwa mbali na kuua msikiti mzima.
Kubali lataa Usalama hawajui mbinu na hawana uwezo WA kukamata gaidi ila huu hovyohovyo Ili kurudhisha nafa zao
Mimi mrefu lakini siyo mfupi kama pimbi. Jitahidi akili zako ndiyo zisiwe pimbi!!Nini wewe pimbi.
Kama yalikuwa magaidi ya kiislamu kama yale kule Mozambique, nawapa heko hao vijana wa usalamaHamna cha uchaguzi maana ni mambo yanayofahamika hadi waliotekeleza, ila mtoa amri ndio hayuko duniani.
Imagine kama angekuwa JPM ndio alikamata wale wa uamusho ingekuwa je?Hi dini inashida kutwa kulalamika kuwa mnaonewa kwa ugaidi mbona wakristo hawafanyiwi hivo, hata kikwete alidili nao vizuri tu licha ya kuwa mwislam, ogopa sana mwislam ambaye ana elim dini
Kutaifisha shule ilikua trick ya kuzuwia waislam kuwa na shule ili wadhibiti idadi ya waislam wasomi kupitia shule za umma, waislam walikua na Msuli wa pesa,kupitia eamws walijipanga kujenga taasisi za elimu,ili kuwadhibiti wasiwe wengi serikalini ndiyo akaja na huo mpango plus kuhakikisha wizara ya elimu inakua kigango Cha kanisa,kiasi padri chiwanga akawa Waziri wa elimu,ni mpaka 1987 mwinyi akamteua malima kuwa Waziri wa elimu kwa Mara ya kwanza tangu uhuruAngekuwa mdini angetaifisha mashule na Hospitali za kanisa na kuzifanya za umma?? Taja shule yoyote maarufu kwenye mkoa wowote ule ambayo hapo awali haikuwa ya Kanisa!!??
Mwalimu hakuwa mdini!!
😂😂Zitto mdini sana ndo maana chama chake kipo kama boti kinazunguka pwani tu
Hao hawana ushahidi wa moja kwa moja. Ukiwaleta kisheria ujue umewakosa na wakiachwa wataongezeka mara tano.Ugaidi mbaya ni kumuua mtu anayeshukiwa ugaidi bila kumfikisha katika vyombo vya haki ili apate haki yake kwa mujibu wa sheria,
Labda red brigade, maana watuhumiwa ndio hizo mamlaka zilizopaswa kushughulikia 😆😆.Mamlaka ipi au zipi
Kama huu mjadala ulizimwa kipindi kile, kuujadili sasa ni sahihi ili waathirika wapate haki yao.Hii habari si ya kitambo sana. Imeletwa humu tena ili iweje?? CHADEMA walipoomba waijadili bungeni kwa dhararu si walikataliwa na kuonekana ni watu wataka sifa??
Makelele haya yangepigwa wakati tukio lilipotokea zama na enzi za mwendazake. Kulisema hili sasa ni kutaka sifa tu za kisiasa.