Madai ya Zitto ya vijana wa Usalama wa Taifa kuua viongozi wa dini msikitini ni mazito sana. Ukweli ujulikane isijekuwa anataka sifa za kiha

nilikuwepo pwani wakati hayo mambo yanatendeka kilichokuwa kinafanyika kule ni mambo ya kusikitisha sana. japo ukiwa jf unaweza kukataa ila mm binafsi nilishuhudia mambo mabaya sana
alaaniwe popote alipo mtu yule. afande kingai mungu anakuona na hautabaki salama daima
 
Kama ulikuwepo Lindi/Mtwara enzi hizo basi hauwezi kumpinga zitto maana watu waliona! Siyo uongo mimi jamaa yangu alikuwepo enzi mtiti huo unatokea "vyombo vya ulinzi" waliingia msikitini na kuleta taharuki.
Tusitumie nyumba za ibada kukwepa mkono wa sheria.
Hakuna sheria iliyovunjwa kwa kufanya hivyo.
 
nilikuwepo pwani wakati hayo mambo yanatendeka kilichokuwa kinafanyika kule ni mambo ya kusikitisha sana. japo ukiwa jf unaweza kukataa ila mm binafsi nilishuhudia mambo mabaya sana
alaaniwe popote alipo mtu yule. afande kingai mungu anakuona na hautabaki salama daima
Aisee.
Somebody must pay for these injustices
 
Ndiyo uingie na viatu msikitini na kumpiga mtu risasi wakiwa kwenye ibada!?..haikuwezekana kumkamata baada au kabla ya hapo!?..hao maafisa usalama itakua walikua wavaa msalaba,maana wamelelewa kuchukia na kudharau waislam tangu wangali wadogo
Kenya ndio walikuwa wanauwa hivi waumini
Wamewauwa sana kwa staili hii
 
Aisee.
Somebody must pay for these injustices
nakumbuka. siku moja nilikuwa nimelala kwa mwenyeji wangu kibanda cha uani. mwenyeji wangu alikuwa mtu wa mazoezi kidogo na mwenye shughuli zake nyingi za shambani. usiku wa saa nane ilikuja gari ikiwa na polisi waliovalia sale zao. walizingira nyumba ile na kumchukua yule jamaa yangu wakamfunga kitambaa cheusi na kumlaza kwa gari na kuondoka nae. alichokipata huko kinasikitisha na kuumiza sana. walikaa nae kwa siku 40. jamaa anasema alishuhudia watu wakichanwa vifua kama samaki na kufariki huku akiona.
namchukia san amtu yule ila mungu mkubwa sana
 
nilikuwepo pwani wakati hayo mambo yanatendeka kilichokuwa kinafanyika kule ni mambo ya kusikitisha sana. japo ukiwa jf unaweza kukataa ila mm binafsi nilishuhudia mambo mabaya sana
alaaniwe popote alipo mtu yule. afande kingai mungu anakuona na hautabaki salama daima
Toa uongo wako mpuuzi mkubwa.
 
nakumbuka. siku moja nilikuwa nimelala kwa mwenyeji wangu kibanda cha uani. mwenyeji wangu alikuwa mtu wa mazoezi kidogo na mwenye shughuli zake nyingi za shambani. usiku wa saa nane ilikuja gari ikiwa na polisi waliovalia sale zao. walizingira nyumba ile na kumchukua yule jamaa yangu wakamfunga kitambaa cheusi na kumlaza kwa gari na kuondoka nae. alichokipata huko kinasikitisha na kuumiza sana. walikaa nae kwa siku 40. jamaa anasema alishuhudia watu wakichanwa vifua kama samaki na kufariki huku akiona.
namchukia san amtu yule ila mungu mkubwa sana
Kwa umri wangu sijawahi kuona serikali inaonea watu wake bila sababu. Bro unaweza laumu serikali na kusema watu wameonewa ila sidhani kama Kuna kitu kama hiko. Mpaka jamaa yako anachukuliwa Ina maana watu washafanya kazi zao na kujua Nini kinaendelea. Binafsi nilishiriki Operation tokomeza ujangili. Hatukuwa tunamfuata mtu bila kujua tatizo au uhusika wake kwenye ujangili. Tusilaumu vitu tu bro. Kwa Hali iliyokuwepo Rufiji, Lindi na Mtwara ilikuwa ni lazima serikali ifanye kazi yake.
 
Mimi binafsi niliwahi kamatwa bila kosa nkafikoshwa tazara from kahama kisa tu tuna nguv kubwa ya imaani.
Ni bahat Leo kuwepo wenzangu mpka Leo hawajulikani walipo na wengine mashehe nlishuhudia wakifa mbele yangu.

Narudia Tena usipokua muislam huez elewa.

Ukisali sana utaitwa gaidi tuuu.
Pole sana mkuu.

Ungelidhulumiwa uhai wako.
 
Kwa umri wangu sijawahi kuona serikali inaonea watu wake bila sababu. Bro unaweza laumu serikali na kusema watu wameonewa ila sidhani kama Kuna kitu kama hiko.
Kawauliza kina Lissu, Mbowe, Chadema au wafuasi wa upinzani huko Zanzibar (ACT kwa sasa zamani CUF) kuhusu hichi ulichoandika kama hakuna kuonewa bila sababu ?....
 
Kaa ukijua intelligence ya nchi yako pendwa haijui kitu kabisa .
Tunazidiwa hata na ndugu zetu Rwanda Wana Usalama wenye uwezo mkubwa WA kumfatilia mtuhumiwa mbali na kuua msikiti mzima.

Kubali lataa Usalama hawajui mbinu na hawana uwezo WA kukamata gaidi ila huu hovyohovyo Ili kurudhisha nafa zao
Rwanda wanatumia mbinu gani kuwabaini magaidi wanaojificha kwenye uislam?
 
Nguvu kubwa ya imani unamaanisha nini??
Fafanua zaidi hiyo "nguvu kubwa ya imani" iliyosababishwa ukamatwe.

Back
Top Bottom