Madai ya Zitto ya vijana wa Usalama wa Taifa kuua viongozi wa dini msikitini ni mazito sana. Ukweli ujulikane isijekuwa anataka sifa za kiha

Madai ya Zitto ya vijana wa Usalama wa Taifa kuua viongozi wa dini msikitini ni mazito sana. Ukweli ujulikane isijekuwa anataka sifa za kiha

Kakudanganya nani uislam umekuja afrika 1800s!?..acha kupotosha watoto,ibn batuta kapita mwambao wa pwani ya afrika mashariki mwaka 1300 na kakuta uislam upo kilwa
Kwa kuongezea tu msikiti wa Kizimkazi ulijengwa mwaka 1100 AD.
 
kama ni wale wa kibiti, ulitegemea wafanyweje endapo wamekimbilia kujificha msikitini? wawaache wamalize kuswali wakati mule wameingia sio kuswali bali kujificha tu? nilitegemea zitto atawapa pongezi anaowatuhumu kwa kutupunguzia watu wanaoichafua dini.
 
Hakuna anayeishi karibu na hayo maeneo ya msikiti wa CHUMO atupe update pengine kuna kajiukweli hawa wanasiasa wanakua wanaambiwa tu waseme kama spika ila ukweli upo mahala usika

Watu wa LINDI njooni mtoe taarifa sahihi
 
Silaha zitakaaje miskitini mkuu? Kwani kuna ghala mule?
Kunaweza hakuna ghala Ila ukakuta watu wenye Nia mbaya wameingia nazo. Kuna taasisi ambazo zinahitaji watu wa kupigana. Mfano Islamic state, alshabaab na vinginevyo. Vingi vinatumia miavuli ya dini na kufanya serikali inajikuta haina namna zaidi ya kuingia humo kuwafuata. Ndio maana niliuliza. Kwenye hizo oparasheni Kuna watu innocent waliumia Ila Kuna watu guilty walistahili. Tuwe making na misaada tunayopokea.
 
Back
Top Bottom