NGUVU NDOGO NI IPI
JF-Expert Member
- Jul 13, 2019
- 909
- 1,046
akinyongwa tu hi nchi haitwa tanzania tena
Hata sisi madokta wa miti shamba hatuelewi nini kilikuwa kinaendeleaInasemekana Madaktari Kutoka Nchini Kenya waliokuwa wanampatia huduma Tundu Lissu Walistaajabu sana namna Kiumbe Huyu alivyo kuwa anapona majeraha yake kwa haraka spiidi Isiyo ya Kawaida, Je Mungu anataka kusema Nini juu ya Mwanadamu Huyu? Tundu Lissu?
Huyu bwana Tundu Lissu ni Mkubwa kwa kiwango Gani? Mbona sisi tunaona ni Mtu wa kawaida Tu!! Au Tunatazama Tofauti? Nimeanza kuhofu Baada ya kuona hata Askari Magereza wanajificha Sura zao hata Mahakamani hawataki Tundu Lissu awaone!! Sababu ni Nini?
Mchambuzi mmoja wa maswala ya ujasusi na intelijensia alisema pamoja na kwamba yeye ni Bingwa wa Uchambuzi wa Intelligence and sexlcurity analysis aliyebobea kwenye Psycholojia alidai kwamba pamoja na kwamba Yeye haamini mambo ya imani lakini Swala la Mapito ya Tundu Lissu yanamrudisha kuamini kuwa Ana Miujiza.Mnawezaje kumtafakari TAL mana mm Kila nikijaribu kumtafakari kdg tuu basi utumbo unatetemeka,mwili unajawa hofu kuu,napata feeling tofauti kabsa na watu wa Dunia hii,mawazo yanakuja km vile nataka kumdadisi mtu asiyechunguzika.bado sielewi kwann hali hii.nitatafuta wataalam wanieleze Nini maana ya mambo haya.
Umeandika urongo. Kama si mtu wa kawaida, ni mtu wa namna gani? Mbona huo utokawaida wake hamtoi gerezani anakosota? Acheni ushirikina. Kama mnazuzuliwa na kutoauwa, inategemea na sehemu waliyolenga hao waliotaka kumuua. Kama wangepiga shingoni kama huyu mbaguzi wa Marekani aliyeondolewa jana, ingekuwa historia. Ana bahati tuNa Emily Mwakilembe
Mungu huzawadia Dunia watu au Viumbe waliobeba kusudi la kuikomboa Jamii au Watu wake, Huwezi kumuona Mungu kwa Macho yako lakini Mungu huonekana kupitia Watu waliobebeshwa jukumuu la kusudi lake. Kasome Mt 2:1-23 SUV.
Tundu Lissu anaweza kututafakarisha sana!! Je Lissu ni Binadamu wa kawaida? Karibu
Mwaka 2017 September 7. Majira ya saa 7 mchana, eneo la Area D Jiji Dodoma, Masikio ya Dunia yalisikia Sauti za Risasi zaidi ya 38 zikigonga Nyama na kuingia ndani ya Mwili na kuchakaza Mifupa ya Binadamu aitwae Tundu Lissu,
Hakuna Binadamu aliewai kuamini Risasi 16 zenye ukubwa wa 7.62x39mm kutoka kwenye Silaha AK47 ya Wasovieti iliyogunduliwa na Mikhail Kalashnikov kutoka nchini Urusi . Zinazoweza kupenya kwenye mwili wa Binadamu na zikashindwa Kupola Zawadi ya Pumnzi ya Uhai wake aliyopewa Mwenyezi-Mungu.
Tembo anapigwa Mbili tu Baridi! Nyati anapigwa Moja tu Baridi!, Je Binadamu?
Inasemekana Madaktari Kutoka Nchini Kenya waliokuwa wanampatia huduma Tundu Lissu Walistaajabu sana namna Kiumbe Huyu alivyo kuwa anapona majeraha yake kwa haraka spiidi Isiyo ya Kawaida, Je Mungu anataka kusema Nini juu ya Mwanadamu Huyu? Tundu Lissu?
Iliniidi kusafiri mpaka Uingereza kujua Sababu za Kisayansi za Kupona Haraka Majeraha kwa Binadamu, Wanasayansi Kutoka Nchini Uingereza wanasema Wamegundua kwamba majeraha ya Kidonda cha kukatwa au kuchomeka hupona haraka yanapopatikana mchana ikilinganishwa na usiku. Je Tundu Lissu kushambuliwa Mchana Saa 7 inaweza kuwa sababu ya Madaktari Bingwa wa Kenya kumshangaa anavyo pona kwa Maajabu? Sijui tuendelee.
Wanasayansi wanasema tena Seli za mwili wa Binadamu hubadilika tabia kulingana na Muda, Huku Protini zinazo ponya majeraha zikifanya kazi vizuri mchana kuliko Usiku, jeraha la Usiku hupona kwa siku 28, wakati Jeraha la Mchana hupona kwa siku 17, Kwanini Lissu alikuwa anapona Majeraha kwa siku 7 tu!!. Au ndio maana Madaktari Bingwa wa Kenya walikuwa Mdomo wazi!! Wakishangaa!
Je waliotoa agizo kushambuliwa pale Area D Dodoma ili Afe inasemekana watu hao Hawapo Hai mpaka leo!!! Je aliezuia pesa za Matibabu yake na Kumvua Nafasi yake Mjengoni yu Hai? Naogopa Kushuhudia Uongo ila Najipa Tafakari tu!!
Huyu bwana Tundu Lissu ni Mkubwa kwa kiwango Gani? Mbona sisi tunaona ni Mtu wa kawaida Tu!! Au Tunatazama Tofauti? Nimeanza kuhofu Baada ya kuona hata Askari Magereza wanajificha Sura zao hata Mahakamani hawataki Tundu Lissu awaone!! Sababu ni Nini?
Nimeogopa sana kusikia eti hata Mashahidi wa Kesi yake ya Uhaini wanaogopa Binadamu huyu asiwajue Sura ikiwezekana hata Sauti zisifahamike!!! Lissu ni Nani? Nami nimeanza kumuogopa toka Jana Sijalala. Huyu kiumbe anaweza kuwa ni Mtu mwenye Kusudi la Ki-Uungu, Anae sema Haogopi Kunyongwa!! Mpaka nachanganyikiwa!
Lissu ni nani? Anaeweza kukaa Mahabusu Magereza kwa siku zaidi ya 100 akiwa amechanganywa na Wafungwa wanaosubili kunyongwa, lakini Akija Mahakamani Anatabasamu!!! Amenenepa!! Binadamu aliebaki na Boriti la Risasi mwilini akiishi nalo. Uwezo wake wa akili yanii IQ- intelligence quotient Ni wajuu sana hii zawadi Huyu Bwana alibarikiwa sana na Mungu.
Duu!! Karibu niwape Hadithi ya Funzo.
Siku moja Abiria wakiwa safarini, walikumbwa na Mvua ya Ajabu na Radi za nguvu!! Hofu ikatanda Ndani ya Gari, Abiria wakatahamaki kwanini Radi inatufwata sisi tu!! Mzee mmoja akasema "Ndugu zangu kuna Mtu humu kwenye Gari Radi hii inamtaka inapaswa gari isimame tumtoe asije kutuletea Madhara".
Wazo la mzee likasikilizwa Gari ikasimama, hoja ikaja je! Tutamjuaje Mtu anaepaswa kushuka? Mzee akatoa wazo tena, akasema "ilikumtambua itakuwa ngumu tunaomba kila mtu atakuwa anashuka Nje ya Gari na kwenda kushika mti ule mbele usipo pigwa na Radi basi wewe sio mhusika", ikumbukwe Mvua inanyesha ya Nguvu na Radi za hatari.
Wazo likapita akaanza wa kwaza akaenda kushika Mti na akarudi, akaenda wa pili, wa Tatu wa Nne wa Tano wa Sita mpaka 23, akabaki mmoja Tu nae ni Baba mmoja, watu wote wakamgeukia yule Baba na kusema "Zamu yako nenda kwenye mti pale kashike na urudi Radi isipo kupiga basi utakuwa sio Muhusika kama sisi".
Yule Baba akashuka huku akitetemeka akatembea mita kama 10, lakini kabla hajafika kwenye Mti radi ilipiga Gari na watu wote wakafariki kwenye gari. Kumbe yule Baba ndie alikuwa ameshika Uhai wao. Yeye ndie alikuwa Kinga kwao lakini Hakuna aliejua kusudi la Mungu Mtu yule kupanda kwenye Gari ile, Kwa sababu ya Ujinga wao wa kuto kujua, walifariki wate. Mungu hukaa kwenye watu aliowabebesha kusudi. Lakini kwaababu ya kiburi cha Madaraka, Pesa na Uhai basi tunajikuta tunaweza kuondoa uhai wa watu wengine na kujivisha Uungu Mtu.
Umejifunza nini?
Ukiipenda Unaweza Ku-Share na Ukaisambaza ili tupate tafakari sote.View attachment 3447126