Madaktari bingwa wa Kenya walisema Tundu Lissu sio mtu wa kawaida

Maombi hayajawahi kuiondoa serikali dhalimu madarakani ila vitendo vimewahi by kenyan Gen Z
 
Hata sisi madokta wa miti shamba hatuelewi nini kilikuwa kinaendelea
 
SIjajua kama ndio utaratibu wa magereza
Huyu bwana Tundu Lissu ni Mkubwa kwa kiwango Gani? Mbona sisi tunaona ni Mtu wa kawaida Tu!! Au Tunatazama Tofauti? Nimeanza kuhofu Baada ya kuona hata Askari Magereza wanajificha Sura zao hata Mahakamani hawataki Tundu Lissu awaone!! Sababu ni Nini?
 
Mchambuzi mmoja wa maswala ya ujasusi na intelijensia alisema pamoja na kwamba yeye ni Bingwa wa Uchambuzi wa Intelligence and sexlcurity analysis aliyebobea kwenye Psycholojia alidai kwamba pamoja na kwamba Yeye haamini mambo ya imani lakini Swala la Mapito ya Tundu Lissu yanamrudisha kuamini kuwa Ana Miujiza.

Alieleza.
 
Umeandika urongo. Kama si mtu wa kawaida, ni mtu wa namna gani? Mbona huo utokawaida wake hamtoi gerezani anakosota? Acheni ushirikina. Kama mnazuzuliwa na kutoauwa, inategemea na sehemu waliyolenga hao waliotaka kumuua. Kama wangepiga shingoni kama huyu mbaguzi wa Marekani aliyeondolewa jana, ingekuwa historia. Ana bahati tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…