babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 11,632
- 29,912
Serikalini yenu imetangaza kuwa ametokea Tz!Kazi ya Serikali yenu na viombo vya dola ni kuchunguza alitokea Tz pande gani? Kutengamana na nani na wapi? Serikali ya Tz haina jibu?
Tz sehemu gani na ni lini?
Mlifunga mipaka yote mkaja humu kuruka ruka kushangilia,
Haya sasa huyo alipitia mpaka gani juu mlitangaza kufunga mipaka?
Mnashangilia kupima Pima badala ya kuwekeza nguvu kwenye kuzuia maambukizi hiyo iga iga yenu ndio huwa inawaponza,
Mtaishia kusema tunachekelea matatizo yenu.