Madaktari mnatuchanganya kuhusu muda gani wa kufanya mapenzi na mke baada ya kujifungua

Achana nao hao hawajielewi. Akijifungua siku ya kwanza ya pili ya tatu unamwambia m test kama anasikia maumivu au vipi. Mi huwa siku 5 tu naanza mchapa nao. Maana nyuzi zinakuwa zimeanza kupona vizuri tu. Sema naenda naye kwa styles za kulea lea kwanza. Akifika week 2 mchakamchaka.
 
kwaiyo dada yako niwe nambandua baada ya siku saba?

Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
 
Wewe kima .

Sex inaruhusiwa baada ya pauperism period kuisha ambayo uchukua siku 40.

Lakini lazima uzingatie afya ya mama mjamzito na aina ya kujifungua.

Mfano mtu alijifungua kawaida ila epistiotomy ilitokea sasa kidonda kikachelewa kupona je unatarajia Hugh mtu ndani ya siku 40 atafanya mapenzi.

Au kidonda cha CS hakijapona je atafanya mapenzi.

Kama akipata kifafa cha mimba.

Achana na akili ya matako .

Usifananishe afya na uandishi wako wa habari wa kupanga Aya kima ww
 
disorganized thinking +emotions that don't fit the situation.[emoji23][emoji23]
typified by shallow and inappropriate emotional responses, foolish or bizarre behaviour, false beliefs (delusions), and false perceptions (hallucinations). In mental disorder: Clinical features.7 Dec 2023
 
Mimi nitawauliza kazi ya GENTAMYCINE ni kutibu nn. Nilinganishe majibu yao na post zako huku JF.
Definitions of hebephrenic. adjective. suffering from a form of schizophrenia characterized by foolish mannerisms and senseless laughter along with delusions and regressive behavior. synonyms:
 
Hapa Unanielimisha au Unanisimanga?
 
Studies zinaonesha unaweza kuingiliana na Mkeo aliyetoka kujifungua mara baada ya siku 40, japo itategemeana na hali ya afya ya mwenzio.

Lakini kwa Uzoefu wangu, vyema Mke umuache hadi afike miezi 4 ama 6 ndiyo unaweza kufurahia naye tendo, otherwise utamfanya mwenzio arudi hospitali.

Ila hakuna wakati Wanaume tunapata tabu kama wakati wa kulea, yaani inahitaji uvumilivu sana kwa kweli
 
Janabi anatumia labda ushauri wa dini yake.
Mke akijifungua kwa mwislamu bado kadume kanaendelea na utelezi kwa watatu waliobaki.
Sasa kwa mkristo na mke mmoja amsubiri miezi 6.
Kuna wanaume wanapishana Kimboka na pete za arusi, shida inaweza kuwa ilianzia kwa ushauri wa Dr kwa ndoa yake[emoji849]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu ni wakati muafaka wa kucheza mechi za kushtukiza ugenini, miezi sita ni mingi sana mwanaume kuvumilia.
 
yaana huyu jamaa ana upwiruu wake anakuja kuforce hiyo siku anayotaka yeye so azingatie ushauri ni siku 30 hadi 60 full stop kwa sababu utakuta mwingine kafanyiwa C/S alafu kuna mtu anakuja kusema siku 7 what a shame you broo ,stay on the recommended day be patient.
 
Duuuuh,wanasemaje hapo KAWE naona project ya mama NHC inaenda kwa kasi sana.
 
Huu ni wakati muafaka wa kucheza mechi za kushtukiza ugenini, miezi sita ni mingi sana mwanaume kuvumilia.
Hahaha..............yaani kuna wakati Mzee anasimama hadi misuli inataka kupasuka alafu mambo bila bila, sisi wenye roho nyepesi tunaishia kwenda bafuni kujimwagia maji ya baridi kupunguza joto la injini (Asomaye na aelewe 😜).

NB: Hakuna wakati nakuwa na hasira kama kipindi hiki cha Mamaa kulea, ni kipindi chenye mtihani sana kwasisi tusio na viwanja vya ugenini πŸ€—
 
🀣🀣🀣🀣kipindi kigumu sana hiki!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…