Madaktari mnatuchanganya kuhusu muda gani wa kufanya mapenzi na mke baada ya kujifungua

Madaktari mnatuchanganya kuhusu muda gani wa kufanya mapenzi na mke baada ya kujifungua

yaana huyu jamaa ana upwiruu wake anakuja kuforce hiyo siku anayotaka yeye so azingatie ushauri ni siku 30 hadi 60 full stop kwa sababu utakuta mwingine kafanyiwa C/S alafu kuna mtu anakuja kusema siku 7 what a shame you broo ,stay on the recommended day be patient.
🤣🤣🤣
Sasa kama ana upwiru si atafute mchepuko 🤣
 
Hahaha..............yaani kuna wakati Mzee anasimama hadi misuli inataka kupasuka alafu mambo bila bila, sisi wenye roho nyepesi tunaishia kwenda bafuni kujimwagia maji ya baridi kupunguza joto la injini (Asomaye na aelewe 😜).

NB: Hakuna wakati nakuwa na hasira kama kipindi hiki cha Mamaa kulea, ni kipindi chenye mtihani sana kwasisi tusio na viwanja vya ugenini 🤗
🤣🤣🤣🤣kipindi kigumu sana hiki!
 
🤣🤣🤣🤣kipindi kigumu sana hiki!
Kwa kweli Mkuu, nimegundua ndiyo maana Mfalme Suleiman alikuwa nao 700 ili kuepeuka hizi changamoto za kusubiria mtoto aache ziwa 😜
 
Back
Top Bottom