Hahaha..............yaani kuna wakati Mzee anasimama hadi misuli inataka kupasuka alafu mambo bila bila, sisi wenye roho nyepesi tunaishia kwenda bafuni kujimwagia maji ya baridi kupunguza joto la injini (Asomaye na aelewe 😜).
NB: Hakuna wakati nakuwa na hasira kama kipindi hiki cha Mamaa kulea, ni kipindi chenye mtihani sana kwasisi tusio na viwanja vya ugenini 🤗