Madaktari na maofisa wengine wa kiserikali mnawanyanyapaa sana wananchi

Mhafidhina07

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2014
Posts
3,340
Reaction score
4,659
Idadi klubwa ya wananchi ni dhofu hali na pangu pakavu hivi hizi kauli za madktari kuwalingania wananchi kuwa wapime afya zao kila wiki wanakuwa wakifikiri kuhusu pato la kila mmoja?wapo viongozi wengine wa kiserikali wanatumia kauli za kuwaaambia vijana wajiajiri ila wao ndiyo kwanza wapo kwenye wadhifa hii ni body torture hebu kila mtu afanye yake tusiharibiane siku.

NIMEMALIZA
 
Umewasikia toka kwenye chanzo gani wakisema?
 
Back
Top Bottom