Madaktari na wataalamu wa chakula, kwanini haishauriwi kuongeza chumvi baada ya chakula kuiva?

HIVI WANAVYOSEMA MTU HUYU AMUKULA CHUMVI NYINGI KUWA AMEISHI MIAKA MINGI WANADANGANYA? KULA CHUMVI KIDOGO NI KUISHI MIAKA MICHACHE??
 
Naomba kupishana na wewe hapa mkuu, kusema kwamba chumvi ina kiwango kikubwa cha Sodium ni sawa na kusema maji yana kiwango kikubwa cha Hydrogen, Ili chumvi iitwe chumvi ni lazima iwe na Sodium kwa sababu ni mojawapo ya kitu kinaichotengeneza.
Kwani kuna chumvi yenye Sodium kidogo na chumvi yenye Sodium nyingi?
kuna sodium ambayo ipo compact yaan element mbili zimeungana lakini unapoyeyusha chumvi maanake unavunja vunja zile element kuwa atom ndogo ndogo
 
Nilisikia mahali kuwa chumvi ina tuplastic nadhani ndio huto umebeba sodium nyingi ..ukipika kwa muda mrefu tunayeyuka....
 
Hili swali nimekuwa nikijiuliza bila kuelewa, nimekuwa nikisikia majibu kama chumvi mbichi na chumvi iliyoiva, sielewi ni namna gani chumvi inaitwa imeiva wakati yenyewe ni kemikali.
Mkuu, Nikueleze kwa Lugha nyepesi ya form two.

Chumvi mbichi (NaCl), ni ile Ikiwa haijawekwa kwenye kimiminika chenye Joto. Yaani ile kavukavu ya kunyunyizia.

Chumvi iliyoiva: Ni ile ikisha pikwa kwenye Chakula, Chumvi huwa ina break bond in Sodium na Chloride. Molecules za maji huwa zinavunja bond ya ions baina ya Sodium na Chloride. hivyo zinatoa huo muunganiko wake na kila mineral inakuwa inajitegemea.

REASON:
Mwili unakuwa vizuri zaidi endapo ukipokea Chumvi ikiwa imesha break bond(CHUMVI ILIYOIVA). Therefore. Kila mineral itafanya kazi yake separate mwilini.
 
Hii unayoita chumvi "iliyoiva" ni chumvi iliyoyeyuka kwenye maji, unaweza ukachukua chumvi ukaikoroga kwenye maji na ikayeyuka bila kuipika.

Chumvi vyovyote vile utakavyoiingiza mwilini lazima itakutana na maji maji, iwe ni mate, iwe ni maji utakayokunywa, iwe ni maji maji ya kwenye chakula....mwisho wa siku lazima itayeyuka ikikutana na maji ya aina yoyote. Hii haihitaji kupika.

Halafu unaposema "Kila mineral itafanya kazi yake separate mwilini" unafanya ionekane kama mwili unatengenisha Sodium na Chlorine kivyake wakati si kweli, mwili unatumia Sodium ions katika solution (Sodium na Chlorine zipo reactive sana zikiwa zenyewe)...ikitokea ukaondoa maji kwenye chumvi iliyo kwenye solution sio kwamba utapata Sodium na Chlorine, bado utarudi pale pale kwenye Sodium Chloride uliyoanza nayo.
 
Swali lako ndio jibu tatizo kujifanya mjuaji wa kuhoji.
Kuhoji sio ujuaji, watu wengi wanaamini kwamba kuna kitu kinaitwa chumvi mbichi na chumvi iliyoiva kitu ambacho sio kweli.
Sababu inayoleta mashiko kuhusu kuongeza chumvi mezani baada ya kupika ni ile ya mchangiaji Superfly aliyesema kwamba inakuwa rahisi kuzidisha chumvi ikiwa unakula halafu kila tonge unasindikizia na chumvi, hii nafikiri ndio sababu inayofanya utumiaji wa chumvi kutoshauriwa baada ya mapishi.
 
Kama hakuna chumvi mbichi na iliyoiva basi tusaidie, utafiti wako wa kisayansi unasemaje, ili sisi tusiojua, tuamini kwamba waliosema inayopikwa na chakula ndio inayofaa kiafya ni waongo.
 
Kuna Chumvi na kuna chumvi ya mezani,(table salt),chumvi ya mezani ipo moja tu ambayo ni Sodium Chloride,lakini chumvi zipo za aina nyingi sana kutokana na muunganiko wa aina za ions.

kawaida chumvi ya mezani imeundwa na 4o% Na na 60% Cl,na vitu vingine vinavyoitwa "Additives" kama vile potasium iodide,sodium iodide na sodium iodate,huwezi ukaichukua chumvi yeyote ile ambayo imeundwa na sodium chloride na ukaiita "CHUMVI YA MEZANI",ili chumvi iwe na sifa ya kuitwa ya mezani ni lazima iwe na sifa mbili,mosi iwe ni Sodium Chloride,pili iwe na Additives.

kinachofanya chumvi ya mezani iwe na madhara kwa kiasi kikubwa ni hizo additives ambazo zinatakiwa ions zake zitenganishwe kwa kichochezi joto nje ya mwili ili kurahisisha usharabu wake katika mwili,

Ikumbukwe kuwa ions zikiwa zimeungana na kutengenez kampaundi basi ilikuivunja kampaundi hiyo kunaahitajika joto flani ambalo linatosheleza kuitenganisha kampaundi hiyo na katika muda flani.

sambamba na hilo hizi additives lengo lake kubwa ni kusupply IODINE ambayo huwezi kuipata ikiwa peke yake lazima iwe katika kampaundi,sasa ikitokea ukala chumvi ya mezani mbichi maana yake additive kampaundi inaenda tumboni kama ilivyo na ikifika kule uwezo wake wa kusharabiwa unakuwamdogo,kitu kinachopeleke mtokeo mapya ya kikemikli kati ya kampaundi hiyo na na nyinginezo ambazo badhi ya matokeo yake ya mwisho yakuwa na athari katika mfumo wa chakula(Tumbo,utumbo mpana na mwembamba),mfumo wa mkojo(Figo),na mfumo wa usafirisha(Moyo) kitu kinachoweza kupelekeamtokeoya kansa katika mfumo wa chakula kama Colon carcinoma,Kidney problems kama kidney stones ,na matatizo ya moyo kama pressure.

Tafiti zinaonesha kwamba chumvi ya mezani ambayo kitaalamu inaitwa "Doubly fortified" yaani ina additives za ain mbili ikiwemo additive yenye madini chuma ndani yake kama "Ferrous Furmarate" hiyo ndio inaathari kubwa sana,lakini hii inapaswa kutumikakwa makundi malumu maana huwa inaleng a kukabilina na upungufu wa iodine na madini chuma kwa ajilli ya damu hasa kwa watoto.

Namna ambavyo athari zake hutokea ni elimu nyingine,kwa ufupi nawasilisha.
 
Mkuu Ionic bond kati ya Potassium na Iodine haiwezi kuvunjika kwa joto la nyuzi joto 100 centigrade.
Kuvunja hiyo bond ni zaidi ya 500°C

Nafikri ni kutishana kwa watanzania tu, sidhani kama kuna madhara ya kula chumvi ambayo haijapita kwenye joto.

Madhara yapo kwenye kutumia chumvi nyingi kupita kiasi
 
Hili swali nimekuwa nikijiuliza bila kuelewa, nimekuwa nikisikia majibu kama chumvi mbichi na chumvi iliyoiva, sielewi ni namna gani chumvi inaitwa imeiva wakati yenyewe ni kemikali.

Tuchukulie mifano hii:
  1. Nimepika maharage kilo moja bila kutia chumvi halafu nikaja kuongeza vijiko vitatu vya chumvi baada ya maharage kuiva na kuiacha kwa muda ili chumvi iyeyuke na kuenea kwenye maharage
  2. Nimepika maharage kilo moja na kuongeza chumvi vijiko vitatu nikaacha viive kwa pamoja

Je, kuna tofauti gani kati ya mapishi haya mawili ikiwa kiasi sawa cha chumvi kimewekwa kote na kimesabaa kwa uwiano sawia?
Watu wengi wanadhani kula chakula chenye chumvi ndogo inamaanisha tu kutoongeza chumvi kwenye chakula chao wakati wa kula. DHANA HII SI SAHIHI. Chumvi unayopikia chakula na chumvi unayoongeza wakati wa kula ni kitu kile kile. Wanaposhauri tusiongeze chumvi wakati wa kula, mantiki ni kwamba tayari una chumvi ya kutosha iliyomo ndani ya chakula kilichoandaliwa, hivyo usiongeze zaidi. Haina maana kwamba chumvi ikichemshwa au ikipikwa inakuwa salama, madhara yake ni yaleyale sawa na ile ambayo haijachemshwa au kupigwa.

Kutokuongeza chumvi wakati chakula kinapikwa au wakati wa kula mezani itasaidia sana kupunguza matumizi ya chumvi kwa vyakula vya asili ambavyo vina chumvi kidogo.

Kama watumia vyakula vilivyotengenezwa kiwandani ambavyo tayari vimehifadhiwa kwa kuwekwa chumvi nyingi basi kutoweka chumvi wakati wa kupika au kula itasaidia kidogo kupunguza matumizi ya chumvi.

Moderator hapa tunapaswa tuwe na FactCheck.
 
Mkuu, Nikueleze kwa Lugha nyepesi ya form two.

Chumvi mbichi (NaCl), ni ile Ikiwa haijawekwa kwenye kimiminika chenye Joto. Yaani ile kavukavu ya kunyunyizia.

Chumvi iliyoiva: Ni ile ikisha pikwa kwenye Chakula, Chumvi huwa ina break bond in Sodium na Chloride. Molecules za maji huwa zinavunja bond ya ions baina ya Sodium na Chloride. hivyo zinatoa huo muunganiko wake na kila mineral inakuwa inajitegemea.

REASON:
Mwili unakuwa vizuri zaidi endapo ukipokea Chumvi ikiwa imesha break bond(CHUMVI ILIYOIVA). Therefore. Kila mineral itafanya kazi yake separate mwilini.
Umedanganyika muda mrefu. Hauko sahihi. Chumvi ni chumvi tu. Punguza matumizi ya jumla ya chumvi.
 
There is generally no risk to adding table salt to ready-made foods such as fruits or salads, as long as it is consumed in moderation and in the context of an overall healthy diet.

Table salt, or sodium chloride, is a common seasoning used to enhance the flavor of foods. While high levels of sodium intake have been linked to health issues such as high blood pressure, stroke, and heart disease, the risks associated with consuming moderate amounts of salt are generally considered low for most healthy individuals.

However, it is important to note that many processed and ready-made foods already contain high levels of sodium, often in the form of added salt or other sodium-containing additives. As a result, it is important to be mindful of sodium intake when consuming these types of foods, especially if you have a preexisting health condition that requires limiting sodium intake.

In addition, some individuals may be more sensitive to the effects of sodium and may need to further restrict their intake. If you have concerns about the amount of sodium in your diet or any health conditions that may be affected by sodium intake, it is recommended to consult with a healthcare professional or a registered dietitian for personalized advice.

chatGPT
 
Sio kwamba hairuhusiwi, hapana! ila ni "Haishauriwi" kufanya hivyo kutokana na maelezo yafuatayo:

Ukiweka chumvi wakati wa kupika chakula utafanya chumvi ienee vizuri katika chakula chako, hivyo kiwango cha chumvi itakayotumika kitakua ni kile tu kinachotakiwa kunogesha chakula chako hivyo mwili wako utapata kiwango kidogo cha chumvi.

lakini ukitumia chumvi ya kuongeza kidogo kidogo mezani wakati wa kula, itakufanya utumie chumvi nyingi zaidi ya inavyotakiwa
(Assume ukiwa unakula nyama isiyowekwa chumvi kabla ya kupikwa, kila wakati utakua unachovya chumvi ili usikie ladha si ndio?)

Hali hii itasababisha mwili wako kuwa na chumvi nyingi hivyo kukusababishia Magonjwa kama shinikizo la damu (Blood pressure and hpertension) na mawe ya figo (kidney stone)
je vipi kuhusu nyama choma ambayo haiwekwi chumvi wakati inachomwa?
 
Very reasonable!! Na nimekuelewa vizuri,
 
Back
Top Bottom