Madaktari na wataalamu wa chakula, kwanini haishauriwi kuongeza chumvi baada ya chakula kuiva?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watanzania wengi, hawana uelewa wa Basic Chemistry......
Hebu fafanua hiyo Chemistry ya Chumvi mbichi na iliyopikwa??
Tell me the chemical difference between the Uncooked cooked salt
 
Walimu Wana Kazi sana...Waongrzewe mshahara...yaani majibu yote yaliyotokea Bado hujaelewa!!??
 
Back
Top Bottom