Madaktari nielewesheni hapa natumiaje hii dose ya Azuma vipo vidonge 6

Madaktari nielewesheni hapa natumiaje hii dose ya Azuma vipo vidonge 6

RoadLofa

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2017
Posts
1,509
Reaction score
3,313
Nimeandikiwa na daktari 2x1 kama mnavyoona kwenye picha
PXL_20231224_070708147.jpg
 
Ok,nimekupata kwa iyo nameza kwa pamoja viwili Kila baada ya saa 24?
Ko hujui matumizi ya dosage? Na umeandikiwa kabisa hapo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kweli wee ni lofa, unajuaga kupinga ushoga tyuuh, akat hata dosage maelekezo ya matumizi hujui.

Aseeeeh noumaaah.
 
Back
Top Bottom