Madaktari nielewesheni hapa natumiaje hii dose ya Azuma vipo vidonge 6

Madaktari nielewesheni hapa natumiaje hii dose ya Azuma vipo vidonge 6

Ko hujui matumizi ya dosage? Na umeandikiwa kabisa hapo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kweli wee ni lofa, unajuaga kupinga ushoga tyuuh, akat hata dosage maelekezo ya matumizi hujui.

Aseeeeh noumaaah.
😀😀Hamna Leo ninawenge la UTI na I'm feel dizness nielekeze basi coca
 
Acheni kusingizia vyoo...UTI haitokani na vyoo. Maumbile ya mwanaume ni ngumu sana kupata UTI kwasababu ya vyoo. Wengi wenu hata hamchuchumai pindi mnapokojoa..hiyo UTI inakupataje.

Ukiona UTI imekupata ww mwanaume jua ni kutokana na Kufanya mapenzi na mwanamke mwenye UTI tu.
Ok,nimekuelewa naomba Sasa uende kwenye swali kwenye heading
 
Kwahiyo hata tukikata gogo pia tunasimama au sio
 
Ok,nimekuelewa naomba Sasa uende kwenye swali kwenye heading
Mkuu kwani umepima? Tianzie hapo kwanza

Na km una shida nyingine,basi dose yake Huwa kidonge kimoja Kwa siku mg500, kuanzia siku 3 mpk 6-7 ,kutegemea na Dr ukubwa wa shida alivyoona
ila sio hizo 250mg kidonge vidonge vinakua vingi😅
 
Wabongo tuna matatizo Hadi jibu tu la dose usage mnanibania😀😀watu wengi nashangaa hamuendi kwenye jibu direct mnaleta hoja nyingine ,
Hahaaaa
Nimecheka,kwanza comments nyingi nikajua ushajibiwa
Haya nimekuuliza jlchini hapo ,jibu basi tianzie hapo
 
Mkuu kwani umepima? Tianzie hapo, na km una UTI ,Azuma sio dawa ya UTI!

Na km una shida nyingine,basi dose yake Huwa kidonge kimoja Kwa siku, kuanzia siku 3 mpk 6, ila sio hizo 250g kidonge
Nimepimwa na dr.na kanipa iyo dose
 
Halafu Azuma sio dawa ya uti
Watu sijui nani kawakaririsha hii kitu,mwisho wasiku wanashangaa hawaponi!
Ni moja ya dawa Kali sana. Huyo kaenda tu kununua ndiomaana kaja huku kuuliza. Watu wanajitafutia kifo na usugu wa dawa usiokua na msingi. Mara ya mwisho nilishuhudia mtu hospital anaandikiwa madawa ya thaman ya shilingi 150,000 ambayo chanzo chake ni Gono sugu. Miaka yote jamaa alikua anameza dawa tofauti tofauti. Now yamemkuta na sidhani kama atapona.
 
Back
Top Bottom