Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanaume ni vigumu sana kupata UTI kwa sababu ya maumbile yao. Ila Bongo kumezuka mtindo wa kubambikia wanaume UTI hivyo kuweni macho sana. Kuhusu dozi, inabidi umeze vidognge viwili kila siku mpaka vidonge ulivyopewa viishe. Yaani kama umemeza leo saa sita mchana, then kesho meza saa sita tena (au around muda ule ule) mpaka viishe. Ila ni muhimu sana kuulizia namna ya kutumia dawa pale unapopewa. Usipoelewa uliza mpaka ufahamu.Sio Gono Mzee ni UTI maana nyumba nayokaa sio poa vyoo vyake
Kaniingiza Chaka Kumbe ndo maana nikaja kuuliza uku maana navyofahamu uwa ni vidonge vi 3 ila nashangaa kanipa vidonge 6Sawa ,250 mg,2 Kwa mara 1 mkuu,
Yaani unakeza vidonge 2 Kwa mara Moja Kwa siku Kwa siku 3
Angalizo mkuu km umekutwa na UTI huyo Dr Nina walakimi nae ,hii sio dawa ya UTI.
Labda km una shida nyingine
Ma Dr wa sikuhizi bana ilitakiwa akupe vya 500mg kimoja Kwa siku 🤣
Angekua cronic angetumiaje? Au sindano za mishipa ndio cronic UTI kama tunavyo karirishwa?Hapana haijawa chronic ila thanks kwa ushauri
Usipende kuhisi vitu bila kuprove nimeenda zahanati ya Kijiji / kata na aliyenipa ni Dr kabisa,Dawa umeenda kununua Dukani bila ushauri wa Dr harafu unakuja kuuliza huku nenda Hospital mkuu ukatibiwe hizo sehemu za ugonjwa sio za kutibu kwa kubahatisha...
Ila take care Mazee usiende kavu.
Haina shida utameza viwili,maana kinqchotakiwa ni mg500 once!Kaniingiza Chaka Kumbe ndo maana nikaja kuuliza uku maana navyofahamu uwa ni vidonge vi 3 ila nashangaa kanipa vidonge 6
Azithromycin... Vijana punguzeni ngono-zembe!.... Gono litawaua!Nimeandikiwa na daktari 2x1 kama mnavyoona kwenye pichaView attachment 2851405
Huyo ni Ntu wewe unamwitaje mnyamaa🤣Mkuu umekalili vibaya sana,😀😀
Yes na ndo nilichomwambiaCha ajabu hakuna aliyekupa jibu moaka comment yangu
Hiya dose ni sawa kabisa. Unatakiwa umexe viwili, kwa sababu hiyo ni 250mg. Vile vitatu vinakuwa 500mg.
Sasa inawezekana hapo hakukuwa na 500mg ukapewa 250mg mbili.
Ila hakuna dose ya vidonge 3, dozi kamili imamezwa siku 7. Yani unatakiwa umeze antibiotics kwa siku 7 ili upon
Wengi wanameza AZUMA siku tatu ndio maana hawaponi
Watu wamekariri ukitumia AZUMA una gonorrheaYes na ndo nilichomwambia
250,viwili, 500 kimoja.
Kuhusu dose ya 3,6,7 inategemea na stage ya ugonjwa
Ndo maana nimemuuliza amepima?
Asante,nimekuelewa kwa iyo nimeze vidonge viwili kwa pamoja Kila siku?Cha ajabu hakuna aliyekupa jibu moaka comment yangu
Hiya dose ni sawa kabisa. Unatakiwa umexe viwili, kwa sababu hiyo ni 250mg. Vile vitatu vinakuwa 500mg.
Sasa inawezekana hapo hakukuwa na 500mg ukapewa 250mg mbili.
Ila hakuna dose ya vidonge 3, dozi kamili imamezwa siku 7. Yani unatakiwa umeze antibiotics kwa siku 7 ili upon
Wengi wanameza AZUMA siku tatu ndio maana hawaponi
Pichani nakuonyesha Azuma 500mg ambazo zinakaa 3
View attachment 2851428
Eti 4Watu wamekariri ukitumia AZUMA una gonorrhea
Kifupi hutakiwi kutumia dawa bila kupata ushauri wa daktari au kupima afya.
Umemweleza kijana vizuri asirudie mchezo wake, kuna mwingine kamshauro amezr AZUMA 4 atakufa
Duh Kumbe vile vidada viuza maduka ya dawa vipumbavu sana mbona mara nyingi vinawauzia watu vidonge vi 3 ambavyo utoa maelekezo kumeza siku 3 tu.Yes na ndo nilichomwambia
250,viwili, 500 kimoja.
Kuhusu dose ya 3,6,7 inategemea na stage ya ugonjwa
Ndo maana nimemuuliza amepima?
Yes ,km utaamua iwe usiku ,au asubuhi ni wewe tuAsante,nimekuelewa kwa iyo nimeze vidonge viwili kwa pamoja Kila siku?