Madaktari nielewesheni hapa natumiaje hii dose ya Azuma vipo vidonge 6

Madaktari nielewesheni hapa natumiaje hii dose ya Azuma vipo vidonge 6

Okay, hiyo siyo dawa yake, na madokta wa siku hizi wabovu, sasa hiyo aliyopaswa kumpa 500mg ni dawa gani na ya kutibu ugonjwa gani ????

You are the worst quack doctor in the village, toka lini uka prescribe ma antibiotics kwenye mitandao hujui hata ana symptoms gani, kwa muda gani, na vipimo gani.....

The thread is criminal, period, ni kwa vile tu moderators uelewa mfupi, wamefundishwa kuwinda thread za matusi na za kujipanga kupindua nchi.
Mkuu ungesoma mtiririko wote toka huko juu hukuwa na haja na kulaumu au kutumia lugha ambayo sio

Tumesha elewashana huko juu 250mg,vidonge 2,sawa na kidonge 1, 500 mg!
Shida nn ?
Suala ni eneo alilopo hakukuwa na vya 500 mg.....

Ndo maana kwenye comments Kuna maswali na majibu!
Muwe mnasoma comments kwanza kabla hamja attack mtu
 
Naomba kueleweshwa je ilikuwa sahihi kwa UTI ndogo kupewa AZUMA au mtoa mada atuambie labda alikuwa na dalili nyingine zilizo hitaji dr amwandikie AZUMA
 
Naomba kueleweshwa je ilikuwa sahihi kwa UTI ndogo kupewa AZUMA au mtoa mada atuambie labda alikuwa na dalili nyingine zilizo hitaji dr amwandikie AZUMA
Mwisho wa siku haya mambo bwana
Yeye na Dr aliyemkuta na shida ndo anajua kwann kampa hiyo dawa 🤷au Kuna shida nyingine hatujui
Halafu mgonjwa pia hawezi weka Kila kitu hapa si unajua , privacy .
 
Kwani wote mlioreply hapa ni madaktari?. Na kama sio, mmejuaje kuwa AZUMA inatibu Gono na U.T.I sugu??.
Wote bas mshawah kutumia hio dawa. ACHENI NGONO ZEMBE, mtakuja mfwe mbwa nyinyi😁😁
 
Watu wamekariri ukitumia AZUMA una gonorrhea

Kifupi hutakiwi kutumia dawa bila kupata ushauri wa daktari au kupima afya.

Umemweleza kijana vizuri asirudie mchezo wake, kuna mwingine kamshauro amezr AZUMA 4 atakufa
Hii ndio maana ya akili za kuambiwa changanya na zako,ushauri utafute mahali na kwa utaratibu unaofahamika na sahihi,ikiwezekana.
 
Nimeandikiwa na daktari 2x1 kama mnavyoona kwenye pichaView attachment 2851405
Habari!

Bila kujua mgonjwa anaumwa nini, ni vigumu kueleza yaliyo sahihi.

Kama ilivyoelezwa kule mwanzo. Dawa hii inaweza kutunika kutibu aina mbalimabali za magonjwa/maambukizi.

Hivyo kuna wakati unaweza kuitumia:

A: 1000mg stat (mara moja tu, na hapo huambatanishwa na antibiotics nyingine).
Hii hutegemea pia kinachotibiwa.

B: 500mg siku ya kwanza na kuendelea na dozi ya 250mg mara moja kwa siku kwa siku 5.

C: 250mg mara moja siku ya kwanza mpaka ya tano.

D: 500mg mara moja kwa siku tatu.

E: 500mg mara moja kwa siku ya kwanza mpaka siku tano.

Kam UTI kimoja after 24hrs
Kima ng'ono meza vyote
 
Back
Top Bottom