Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 11,786
- 18,562
Mwanaume unaumwaje UTI? huo ni ugonjwa wa kike bwana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwanaume unaumwaje UTI? huo ni ugonjwa wa kike bwana
Wale wanakuuzia kutokana na ulivyoandokiwa na DrD
Duh Kumbe vile vidada viuza maduka ya dawa vipumbavu sana mbona mara nyingi vinawauzia watu vidonge vi 3 ambavyo utoa maelekezo kumeza siku 3 tu.
Usithibutu kumeza 4Acha kupagawa bro,
Mkuu nawezaa kukufata PM?Yes ,km utaamua iwe usiku ,au asubuhi ni wewe tu
Mi Huwa napendekeza usiku!
Na kesho yake muda huohuo
Lkn dose yake inaenda 6to 7 days for better results sio 3 days
Vya 500mg vilikuwa vimeishaWale wanakuuzia kutokana na ulivyoandokiwa na Dr
Hawana utaalam wa kutibu!
Km wanatoa 3, manaake ni vya 500 mg
Vya 250mg vinakuea 6
Sa ya nn madonge 6 wakati naweza pata 3?
KaribuMkuu nawezaa kukufata PM?
Yaa, inawezekanaVya 500mg vilikuwa vimeisha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]Ndo mana ghono sisikii nkajua imetokomezwa
Usisahau ARV.
Aah ok,sema nipo bush uku nahisi hakuna vya 500 mg ndo maana kanipa ivi vya 250 mg ,ndo maana nikashangaa maelekezo ya Dr ya kumeza 2x 1 na nishazoea town ni vile vya 500 mg ambavyo ni 1x1 ndo maana nikaja ili kuwauliza ili nipate ufafanuzi ,asante sana kwa maelekezo ila comment kibao ila solutions nimepata kwako na jamaa wengine wawili tu ila comment nyingi wanashusha stress zao tu za xmass,Wale wanakuuzia kutokana na ulivyoandokiwa na Dr
Hawana utaalam wa kutibu!
Km wanatoa 3, manaake ni vya 500 mg
Vya 250mg vinakuea 6
Sa ya nn madonge 6 wakati naweza pata 3?
Acha ubishi hiyo nyumba ina vyoo vya stand? Usafi hamjui kufanya usafi? Gono chronic hilo.Sio Gono Mzee ni UTI maana nyumba nayokaa sio poa vyoo vyake
Kumbe ndo dawa zako? Kwahiyo kila mara unaugua UTI?Aah ok,sema nipo bush uku nahisi hakuna vya 500 mg ndo maana kanipa ivi vya 250 mg ,ndo maana nikashangaa maelekezo ya Dr ya kumeza 2x 1 na nishazoea town ni vile vya 500 mg ambavyo ni 1x1 ndo maana nikaja ili kuwauliza ili nipate ufafanuzi ,asante sana kwa maelekezo ila comment kibao ila solutions nimepata kwako na jamaa wengine wawili tu ila comment nyingi wanashusha stress zao tu za xmass,
NakujaKaribu
Mkuu nashindwa kuanzisha conversation naomba ni PMKaribu
Aah Kwa bush ndo maanaAah ok,sema nipo bush uku nahisi hakuna vya 500 mg ndo maana kanipa ivi vya 250 mg ,ndo maana nikashangaa maelekezo ya Dr ya kumeza 2x 1 na nishazoea town ni vile vya 500 mg ambavyo ni 1x1 ndo maana nikaja ili kuwauliza ili nipate ufafanuzi ,asante sana kwa maelekezo ila comment kibao ila solutions nimepata kwako na jamaa wengine wawili tu ila comment nyingi wanashusha stress zao tu za xmass,
Umejuaje sio Chronic azuma ikigoma.jiandae na powersafeHapana haijawa chronic ila thanks kwa ushauri
Wana stress za maisha wananishushia Mimi,wakati mi mwenyewe Nina stress zangu😀😀watu kama hao ukiwajua unawaibukia maskani kwao unawauliza shida niniAah Kwa bush ndo maana
Poa usijali
Ila piga dose ya 7 days !
🤣🤣Wana stress za kesho au sio
Mlongazila washafanya yao, naona wamekuwekea matiti vipi sambwanda?Ko hujui matumizi ya dosage? Na umeandikiwa kabisa hapo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kweli wee ni lofa, unajuaga kupinga ushoga tyuuh, akat hata dosage maelekezo ya matumizi hujui.
Aseeeeh noumaaah.