Kunguru wa Unguja
JF-Expert Member
- Aug 18, 2021
- 1,762
- 1,823
ndio mkuuOk,nimekupata kwa iyo nameza kwa pamoja viwili Kila baada ya saa 24?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ndio mkuuOk,nimekupata kwa iyo nameza kwa pamoja viwili Kila baada ya saa 24?
endelea kukariri kua inaambukizwa njia hiyo tuAcheni kusingizia vyoo...UTI haitokani na vyoo. Maumbile ya mwanaume ni ngumu sana kupata UTI kwasababu ya vyoo. Wengi wenu hata hamchuchumai pindi mnapokojoa..hiyo UTI inakupataje.
Ukiona UTI imekupata ww mwanaume jua ni kutokana na Kufanya mapenzi na mwanamke mwenye UTI tu.
mkuu unatumua STG ya wapi kwa hiyo Azuma haitibu UTI?Haina shida utameza viwili,maana kinqchotakiwa ni mg500 once!
Shida ni kuwa kweli una UTI, if so hii sio dawa ya UTI!
Hata ukitaka ka google uone inatobu mm Azuma!
Km una UTI kweli,tumia Amoxclav,au Cipro.....
toa tongo tongo fuatilia mambo kwa umakiniMwanaume unaumwaje UTI? huo ni ugonjwa wa kike bwana
Mawazo mfu,kwamba kila mtu anayetumia azuma alifanya ngono uzembe?,na kila mtu anayetumia ARV aliupata ukimwi kwa kufanya ngono!?Acha ngono zembe utakuja ufwe mbwa wewe.
Umejuaje sio Chronic azuma ikigoma.jiandae na powersafe
Umejuaje sio Chronic azuma ikigoma.jiandae na powersafe
Mkuu hio power safe ndo ipoje Maelezo tafadhari
Mkuu hio power safe ndo ipoje Maelezo zaidi tafadhariUmejuaje sio Chronic azuma ikigoma.jiandae na powersafe
Apana ana meza azuma kwa kua alikula mahindi ya kuchemsha.Mawazo mfu,kwamba kila mtu anayetumia azuma alifanya ngono uzembe?,na kila mtu anayetumia ARV aliupata ukimwi kwa kufanya ngono!?
Mana yake kila baada yamasaa manne piga viwili kwa siku moja viwevimeisha! ✅✅Nimeandikiwa na daktari 2x1 kama mnavyoona kwenye picha
AchaApana ana meza azuma kwa kua alikula mahindi ya kuchemsha.
Uelewa wako ninao mashaka,jitahidi kuzuia hisia zako ili ujifunze mambo mengiApana ana meza azuma kwa kua alikula mahindi ya kuchemsha.
Dosi nzuri ya kumaliza mauti yafaa iwe dozi ya siku 5 mpaka 7.Hali kadhalika Azuma is strongest antibiotic,inafaa uanze na antibiotic line ya kwanza ikigoma ndio unakuja line 2 au 3,but inategemeana na ukubwa wa maambukizi.Kwangu mimi dose ya siku 5 mpaka 7 kutibu uti ndogo ni bora kuliko kutumia strong antibiotic kama Azuma kutobu UTI ndogo.mkuu unatumua STG ya wapi kwa hiyo Azuma haitibu UTI?
ni kweli kabisa ila kwa sahiv wengi wao wanakimbilia Strong AntibioticDosi nzuri ya kumaliza mauti yafaa iwe dozi ya siku 5 mpaka 7.Hali kadhalika Azuma is strongest antibiotic,inafaa uanze na antibiotic line ya kwanza ikigoma ndio unakuja line 2 au 3,but inategemeana na ukubwa wa maambukizi.Kwangu mimi dose ya siku 5 mpaka 7 kutibu uti ndogo ni bora kuliko kutumia strong antibiotic kama Azuma kutobu UTI ndogo.
Kwani nilikuwa nakujibu wewe sisterHapana lazima tuulize, antibiotics sio nzuri kutumia tu
Sio rahisi means possibility ipo au sioSio rahisi kwa maji maji ya choo kukuingia kwenye uume (kupita kwenye mrija wa urethra)
Sawa ,250 mg,2 Kwa mara 1 mkuu,
Yaani unakeza vidonge 2 Kwa mara Moja Kwa siku Kwa siku 3
Angalizo mkuu km umekutwa na UTI huyo Dr Nina walakimi nae ,hii sio dawa ya UTI.
Labda km una shida nyingine
Ma Dr wa sikuhizi bana ilitakiwa akupe vya 500mg kimoja Kwa siku 🤣