Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,916
- 43,505
Yani chamsudani ndio chakushindwa kabisa hadi kumkimbia?Sio kweli. Madaktari wa Sudani walioenda Tanzania wanaongea kiingereza kizuri sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yani chamsudani ndio chakushindwa kabisa hadi kumkimbia?Sio kweli. Madaktari wa Sudani walioenda Tanzania wanaongea kiingereza kizuri sana.
Mimi jobless pro max, ninae patikana tz.Mkuu unaishi Nigeria au Una rafiki
🤣🤣🤣🤣🤣Mkuu, mbona hata Kiswahili chenyewe huwa tunaongea "broken" mara nyingi tu?
Kwa mfano, hata wewe kwenye "comment" yako hapo juu, kama si "typing error", basi umekosea:
Tunaferi ❎
Tunafeli ✅
Nilijua ni mimi peke yangu kichwa huniuma niingeapo kiingereza 🤣🤣🤣🤣. Tatizo sisi wabongo tunajistukia, mara nyingi huwa nakuwa huru kuongea na mzungu kuliko mbongo maana wazungu wengi wana jua kiingereza sio lugha yetu mam hivyo kukosea ni kawaida. Kutana na wabongo sasa utajuta. Unaongea tu ameshaanza kusmile🤣🤣🤣🤣 hadi hapo hamna haja ya kuendelea🤣🤣🤣🤣Ila Kiingereza bado ni changamoto kubwa sana Kwa wasomi wetu.
Ajabu wale waliosoma miaka ya 60/70/80 wanatema Lugha barabara sijui sisi wengine tunaferi wapi.
Nina rafiki yangu Mzungu anaishi London, weekend hii alinipigia simu Whatsapp, niliongea naye dakika 15 hivi baada ya kumaliza kuongea naye nikawahi Panadol faster maana kichwa kilishaanza kuniuma
Imagine sasa hao Madaktari wenyeji walipaswa kuongea nao Kila Siku masaa 7 ama 8 Kwa Siku 🙌
Kukutana na nani 🤔Unaweza kukutanae mitandaoni mkaanza urafiki
Mzee hustles zao baadhi hizo, nina urafiki tu na baadhi kwenye group la arsenal na davidoSema ma Nigerian wengi ni matapeli , ni Bora kuwa na urafiki
Wakipewa kozi ya kiswahili, unamaanisha watafundishwa pia kwa kiswahili!?Kwani wao kiingereza wanakijua vizuri au ni kile kiingereza cha kiarabu mambo ya guud morningii ..
Kifupi wamekutana wote hakuna anayejua kiingereza kwa ufasaa.
Sasa ilibidi kwa kuwa wamekuja huku kwa dharura tuwape short course ya kiswahili kwa miezi mitatu then tuwasambaze kwenye hizo hospitali hapo mambo yangeenda sawasawa.
Wamesoma udaktari Kwan kiswahili?Mwisho wa mwaka 2023 Wanafunzi wa masoma ya udaktari kutoka Sudan, wanao fadhiliwa masomo Yao na serikali ya tz 🇹🇿, hapa Nchi
Walisambazwa kwenye hospital za hapa Dar es salaam, wakitokea muhimbili, Kwa ajili ya kufanya practical training . Ili kuwapa sehemu zingine Sio wote wakae Tu muhimbili.
Katika hospital walizopelekwa ni mwananyamala, Temeke, ubungo, kigamboni etc.
Waka kabidhiwa Kwa wakuu wa idara mbalimbali Katika hospital hizo.
Cha kushanga wakuu wa idara wakashindwa kuwapa ushirikiano wa kutosha , wakawa Wana kula Kona, wengine wanakuwa wakali ili wasiulizwe maswali.
Shida kubwa ni Kwamba ma daktari walishindwa kuongea Nao English, kama taifa tumeingia matopeni Tena coz masoma wanayosoma ni Kwa lugha ya English.
Kwa hiyo hawa wanafunzi wakawa Wana lalamika kukosa ushirikiano report ikaja kuwa kuna language berrier. Na hawawezi Endelea Tena na practical training Yao, coz hakuna wanaoweza kufanya Nao communication.
So mwanzoni wa February 2024 ikabidi warudishwe muhimbili wakamalizie practical training Yao.
Ushauri: Kiswahili hakina tija Kwa taifa kifutwe mashuleni kabisa.
View attachment 2918900
Wasudani wanasoma Kwan lugha gani?Ila Kiingereza bado ni changamoto kubwa sana Kwa wasomi wetu.
Ajabu wale waliosoma miaka ya 60/70/80 wanatema Lugha barabara sijui sisi wengine tunaferi wapi.
Nina rafiki yangu Mzungu anaishi London, weekend hii alinipigia simu Whatsapp, niliongea naye dakika 15 hivi baada ya kumaliza kuongea naye nikawahi Panadol faster maana kichwa kilishaanza kuniuma
Imagine sasa hao Madaktari wenyeji walipaswa kuongea nao Kila Siku masaa 7 ama 8 Kwa Siku 🙌
Apo Rwanda ndipo nawakubali kwà kuwa na maendeleo ya Kweli Kwa Rai wake, huku sisi ñi siasa za kipumbavu Tu,Wakipewa kozi ya kiswahili, unamaanisha watafundishwa pia kwa kiswahili!?
Ukweli ni kuwa, Tuna tatizo kubwa sana la Lugha hapa TZ, Rwanda wenzetu wameamua kwenda kuchukua waalimu wa kiingereza kutoka Zimbabwe!
Soon tutaona raia wengi wa Rwanda wanaongea kiingereza bila tatizo.
Tuchukue hatua, vinginevyo tutaendelea kuwa wasindikizaji,
Kwa maana hiyo wa kwetu wana hali mbaya kupitiliza😅😅Hao madaktari wetu kama hawawezi kuongea kingereza na wasudani wataweza kuongea na mgonjwa wa kimarekani kweli? Kwa sababu wa sudani kingereza chao kama wamakonde 😂😂😂😂😂😂😂