Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Huko yupo mwamba kweli naamini ngeli imemkataa toka kitambo hivyo wangeenda pale najua kwanza angeomba potea majuma kadhaa .
Tuliwahi kukutana kwenye kimkutano fulani kilidhaminiwa na watu wa nje , basi mwamba alikuwa kwenye kikao ni full kusonya tu maana anasema haelewi A wala Be .
Nikawa namuelewesha hivyo kigumu ukicheki na mimi ndiye yale yale basi tukawa tunaishi hivyo hivyo kama watoto wa baba mmoja ila nashukuru tulifanikiwa kumaliza salama salmini .
Hahaa. Nimetingwa na majukumu ya kitaifa dokta.Anhaa mzima lakini ulisema unakuja Mbeya tutumie mshahara uishe sijakutia machoni bwana
Mimi sijivunii chochote lugha ni nyenzo tu na nikipata muda na uwezo tajifunza lugha yoyote na popote pale napoongea naweza kuchanganya lugha yoyote ambayo itateleza kutoka kwenye ulimi wangu....nikiongea na google natumia sana english sababu google ananielewa vizuri nikiwa hapa jukwaani inategemea context na lugha ipi itatumia maneno machache kufikisha ujumbe...Niambie wewe mwenyewe unajivunia lugha ipi Kati ya English na Kiswahili ?
Na ndio maana tunataka Kiswahili kisitumike , tutumie
Anhaa ushaisha boss wangu lakini wa mwezi unaoanza utakusubiri kwa hamu kwa hiyo ni wewe kukwea pipa kushuka maeneo ya kujidaiHahaa. Nimetingwa na majukumu ya kitaifa dokta.
Tufanye wiki ijayo kama bado mshahara upo au umeshautafuna wote?
Wizara ilijua MD Kwa kupitia masomo waliyo soma , kutema Yai haitakuwa issue kwao, but vise versa is True.hapo busara ndogo tu ilikosekana
kwa sababu lugha ya wazawa ndo inayotumika zaidi ilitakiwa hao wasudan wafundishwe kwanza kiswahili hata kwa mwaka mmoja ndo wapelekwe huko ili waende sawa
Sio kweli!!! Mtu amesoma muda wa miaka 40 unasema hajui kiingereza? Sio kweli, ni chuki tu za wabongo.Tunawajua.Mwisho wa mwaka 2023 Wanafunzi wa masoma ya udaktari kutoka Sudan, wanao fadhiliwa masomo Yao na serikali ya tz 🇹🇿, hapa Nchi
Walisambazwa kwenye hospital za hapa Dar es salaam, wakitokea muhimbili, Kwa ajili ya kufanya practical training . Ili kuwapa sehemu zingine Sio wote wakae Tu muhimbili.
Katika hospital walizopelekwa ni mwananyamala, Temeke, ubungo, kigamboni etc.
Waka kabidhiwa Kwa wakuu wa idara mbalimbali Katika hospital hizo.
Cha kushanga wakuu wa idara wakashindwa kuwapa ushirikiano wa kutosha , wakawa Wana kula Kona, wengine wanakuwa wakali ili wasiulizwe maswali.
Shida kubwa ni Kwamba ma daktari walishindwa kuongea Nao English, kama taifa tumeingia matopeni Tena coz masoma wanayosoma ni Kwa lugha ya English.
Kwa hiyo hawa wanafunzi wakawa Wana lalamika kukosa ushirikiano report ikaja kuwa kuna language berrier. Na hawawezi Endelea Tena na practical training Yao, coz hakuna wanaoweza kufanya Nao communication.
So mwanzoni wa February 2024 ikabidi warudishwe muhimbili wakamalizie practical training Yao.
Ushauri: Kiswahili hakina tija Kwa taifa kifutwe mashuleni kabisa.
View attachment 2918900
Asante dokta, ntafanya hima nije tuutafune huo mshahara nionje jasho lako!Anhaa ushaisha boss wangu lakini wa mwezi unaoanza utakusubiri kwa hamu kwa hiyo ni wewe kukwea pipa kushuka maeneo ya kujidai
unasahau kitu kimojaWizara ilijua MD Kwa kupitia masomo waliyo soma , kutema Yai haitakuwa issue kwao, but vise versa is True.
Sio kweli!!! Ww ulikuwepo wakati hao madaktari wanashindwa, kusikiliza kiingereza cha wasudani? Au ulisikia kwa mtu?Mzee hayo mambo yapo, na hawa MD mabubu wapo wengi Tu 😂
Tumieni kingaAsante dokta, ntafanya hima nije tuutafune huo mshahara nionje jasho lako!
Kama akiwepo na rafiki yangu DR Mambo Jambo itapendeza tutumbue minyama kwa pamoja huku namchamba kuhusu machanjo.
Naomba unijibu? Ulisikia daktari ameshindwa kumjibu huyo msudani??? Au ulisikia tu kwa watu??? Naomba jibu kijana. Usichafue madaktari wetu. Communication skills ni simple kuliko masomo wanayosoma hao madaktari. Yaan washindwe communication skills?? Acha uongo Dogo.Kwani wewe ulikuwepo ? Na kama ulikuwepo mbona umenyamaza
Tufanye wewe umeenda kwenye jamii ya maporini huko kwa wahadzabe, je ni jukumu lako wewe kujitunza kihadzabe ili muwasiliane au utawalazimisha wenyeji wali wajifunze kiswahili wakusikilize?Sasa Kiswahili ni lugha ya kimaitaifa? Mpaka MTU ajifunze.
Kiswahili ni kiluga kama kilivyokuwa kisukuma