Madaktari wa Bongo washindwa kutema yai

Madaktari wa Bongo washindwa kutema yai

Ila Kiingereza bado ni changamoto kubwa sana Kwa wasomi wetu.

Ajabu wale waliosoma miaka ya 60/70/80 wanatema Lugha barabara sijui sisi wengine tunaferi wapi.

Nina rafiki yangu Mzungu anaishi London, weekend hii alinipigia simu Whatsapp, niliongea naye dakika 15 hivi baada ya kumaliza kuongea naye nikawahi Panadol faster maana kichwa kilishaanza kuniuma

Imagine sasa hao Madaktari wenyeji walipaswa kuongea nao Kila Siku masaa 7 ama 8 Kwa Siku 🙌
Kuna mwl wangu advanced level alikua anfundisha kingereza tena shule private. Ila alikua empty set with no element inside the cycle. Alikua anachanganya past tense kuwa future future kuwa present yaani ni mvurugano Kama makande
 
Tuna mlima mrefu wa kupanda kwenye hii Lugha 🙌
 
Hii habar sidhani kama Ina ukweli, lugha ya kiingereza inayotumika hospitalini ni tofauti na lugha ya kiingereza inayotumika mahakamani nk, Dr aliyekaa miaka 6 akisonea fani yake hawezi kushindwa kitu kidgo kama hicho labda kama hao ma intern walikuwa wanahitaji kutongozwa ila kama ni lugha ya kazi hapana.
Ukweli upo sana, hata engineers. Yani inshort watu wa sayansi na kielizabeth ni maji na mafuta kwa asilimia kubwa. Waliosoma na hawa watu au kuwa nao karibu wanajua. Ila shule nazo kama zinachangia. Yani mi wa kidumu na mfagio naweza kuwa nabonda sana masomo yangu ila kwny hiyo lugha nakua kama sisimizi. Ila wa school bus analitema vzuri mno mana ni lugha mana kwake kila muda anaitumia.
 
Mechanism hapo itakua kwenye ubongo, ndomana hata kutembea huwa ni kwa kuyumba yumba mana sehemu ya ubongo inayohusika na kazi hizo mfano kuongea na kutembea huathirika......nadhani iko hivo mkuu....layman language hii usitie maanani sana
Ad kuyumba kunategemea ubongo?
 
Ummy na naibu wake DK i love 💕 sa100 na anaweza kutema Yai 😂 ?
 
Mwisho wa mwaka 2023 Wanafunzi wa masoma ya udaktari kutoka Sudan, wanao fadhiliwa masomo Yao na serikali ya tz 🇹🇿, hapa Nchi

Walisambazwa kwenye hospital za hapa Dar es salaam, wakitokea muhimbili, Kwa ajili ya kufanya practical training . Ili kuwapa sehemu zingine Sio wote wakae Tu muhimbili.

Katika hospital walizopelekwa ni mwananyamala, Temeke, ubungo, kigamboni etc.

Waka kabidhiwa Kwa wakuu wa idara mbalimbali Katika hospital hizo.

Cha kushanga wakuu wa idara wakashindwa kuwapa ushirikiano wa kutosha , wakawa Wana kula Kona, wengine wanakuwa wakali ili wasiulizwe maswali.

Shida kubwa ni Kwamba ma daktari walishindwa kuongea Nao English, kama taifa tumeingia matopeni Tena coz masoma wanayosoma ni Kwa lugha ya English.

Kwa hiyo hawa wanafunzi wakawa Wana lalamika kukosa ushirikiano report ikaja kuwa kuna language berrier. Na hawawezi Endelea Tena na practical training Yao, coz hakuna wanaoweza kufanya Nao communication.

So mwanzoni wa February 2024 ikabidi warudishwe muhimbili wakamalizie practical training Yao.

Ushauri: Kiswahili hakina tija Kwa taifa kifutwe mashuleni kabisa.

View attachment 2918900
Kiingez
 
Ila Kiingereza bado ni changamoto kubwa sana Kwa wasomi wetu.

Ajabu wale waliosoma miaka ya 60/70/80 wanatema Lugha barabara sijui sisi wengine tunaferi wapi.

Nina rafiki yangu Mzungu anaishi London, weekend hii alinipigia simu Whatsapp, niliongea naye dakika 15 hivi baada ya kumaliza kuongea naye nikawahi Panadol faster maana kichwa kilishaanza kuniuma

Imagine sasa hao Madaktari wenyeji walipaswa kuongea nao Kila Siku masaa 7 ama 8 Kwa Siku 🙌
"Tunaferi" ????
 
Back
Top Bottom