Madaktari wa Bongo washindwa kutema yai

Madaktari wa Bongo washindwa kutema yai

Mi nimeshajibu 😁😁😆😆😃
Kwenye #200 na #41..

Hapo kuna kitu kingine ila sio Kingereza..

Labda angeniambia Kule Temeke ENT ndo kuna wale maDr wachaga yule dada na jamaa wote Watu wa Marangu wale.."Mchaga na Kingereza wapi na wapi"...😀😀
Ebo! Yashakuwa hayo?
 
We mwenyewe umeshindwa kuandika barrier, halafu unakuta na wewe ni Mmoja wa wenyeji wao😃😃
 
Wakati nasoma Masters mwaka juzi tulikuwa na foreigners kadhaa darasani. Wale jamaa walikuwa wanapata taabu sana, lecturers wengi wao walikuwa wanafundisha kwa kiswahili. Discussion tunafanya kiswahili. Kwenye magroup matangazo ni Kiswahili. Bongo English kwa wasomi ni shida
Tulipokuwa Chuoni, kuna wakati alialikwa Prof. Anna Tibaijuka kuja kutoa mhadhara. Wakati wa kuchangia, nilishangaa mmoja wa lecturer wangu alipochomekea neno la Kiswahili kwa kusema"...the mferegi", kuashiria kuwa hakuwa na msamiati wa Kiingereza wa huo msamiati.

Sasa kama hicho ndicho Kiingereza cha Mwalimu wa Chuo Kikuu, wanafunzi wake watakuwa katika hali gani?
 
Ila Kiingereza bado ni changamoto kubwa sana Kwa wasomi wetu.

Ajabu wale waliosoma miaka ya 60/70/80 wanatema Lugha barabara sijui sisi wengine tunaferi wapi.

Nina rafiki yangu Mzungu anaishi London, weekend hii alinipigia simu Whatsapp, niliongea naye dakika 15 hivi baada ya kumaliza kuongea naye nikawahi Panadol faster maana kichwa kilishaanza kuniuma

Imagine sasa hao Madaktari wenyeji walipaswa kuongea nao Kila Siku masaa 7 ama 8 Kwa Siku 🙌
pole sana mkuu 😂
 
Kwani wao kiingereza wanakijua vizuri au ni kile kiingereza cha kiarabu mambo ya guud morningii ..

Kifupi wamekutana wote hakuna anayejua kiingereza kwa ufasaa.

Sasa ilibidi kwa kuwa wamekuja huku kwa dharura tuwape short course ya kiswahili kwa miezi mitatu then tuwasambaze kwenye hizo hospitali hapo mambo yangeenda sawasawa.

Safi sana.
 
Acha watoto wangu wasomee huko Kenya fedhea zingine serikali inahisika pakubwa mno na waliosoma zamani walielewa na kukiongea vizuri ila hawa wa sasa aibu tupu!


Yaani wanawakwepa?
 
Mkulima wa parachichi huko mbeya Kwa kina chichi akiwa na anafanya mawasiliano na wateja wa nje ya Nchi, mfano wateja wa south Africa atazungumza lugha Gani ?
Na wao hao uliowataja wakitaka wateja hapa kwetu watazungumza lugha gani?
 
Ni kujiamini tuu ndio issue Kwa wabongo wengi, kiukweli hao wasudani hata Kiingereza hawajui kama sisi, watanzania tunaongea Kiingereza kizuri tuu, ukikaa nje ya nchi na ukasoma nao ndio utagundua watanzania tuna afadhari sana kwenye kiingereza kuliko hao, nchi zote za Africa zaidi ya wakenya, Uganda, Nigeria, South Africa na nyingine kidogo hawajui Kiingereza kuliko sisi, hao Sudan masoko yao mengi ni kiarabu tuu na wanajifunza English kama darasa tuu
 
Back
Top Bottom