Madaktari wa Bongo washindwa kutema yai

Mkuu, mbona hata Kiswahili chenyewe huwa tunaongea "broken" mara nyingi tu?

Kwa mfano, hata wewe kwenye "comment" yako hapo juu, kama si "typing error", basi umekosea:

Tunaferi ❎

Tunafeli βœ…
🀣🀣🀣🀣🀣
 
Yani chamsudani ndio chakushindwa kabisa hadi kumkimbia?
Wazee wanakuwa wakΓ li wakiona watoto wa Ki Sudan wanawasogelea, AU kula Kona na kujifungia ofisini kabisa
 
Nilijua ni mimi peke yangu kichwa huniuma niingeapo kiingereza 🀣🀣🀣🀣. Tatizo sisi wabongo tunajistukia, mara nyingi huwa nakuwa huru kuongea na mzungu kuliko mbongo maana wazungu wengi wana jua kiingereza sio lugha yetu mam hivyo kukosea ni kawaida. Kutana na wabongo sasa utajuta. Unaongea tu ameshaanza kusmile🀣🀣🀣🀣 hadi hapo hamna haja ya kuendelea🀣🀣🀣🀣
 
Wakipewa kozi ya kiswahili, unamaanisha watafundishwa pia kwa kiswahili!?

Ukweli ni kuwa, Tuna tatizo kubwa sana la Lugha hapa TZ, Rwanda wenzetu wameamua kwenda kuchukua waalimu wa kiingereza kutoka Zimbabwe!

Soon tutaona raia wengi wa Rwanda wanaongea kiingereza bila tatizo.

Tuchukue hatua, vinginevyo tutaendelea kuwa wasindikizaji,
 
Wamesoma udaktari Kwan kiswahili?
 
Wasudani wanasoma Kwan lugha gani?
 
Apo Rwanda ndipo nawakubali kwΓ  kuwa na maendeleo ya Kweli Kwa Rai wake, huku sisi Γ±i siasa za kipumbavu Tu,
 
Hao madaktari wetu kama hawawezi kuongea kingereza na wasudani wataweza kuongea na mgonjwa wa kimarekani kweli? Kwa sababu wa sudani kingereza chao kama wamakonde πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kwa maana hiyo wa kwetu wana hali mbaya kupitilizaπŸ˜…πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…