Madaktari wa Bongo washindwa kutema yai

Ebo! Yashakuwa hayo?
 
We mwenyewe umeshindwa kuandika barrier, halafu unakuta na wewe ni Mmoja wa wenyeji waoπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Tulipokuwa Chuoni, kuna wakati alialikwa Prof. Anna Tibaijuka kuja kutoa mhadhara. Wakati wa kuchangia, nilishangaa mmoja wa lecturer wangu alipochomekea neno la Kiswahili kwa kusema"...the mferegi", kuashiria kuwa hakuwa na msamiati wa Kiingereza wa huo msamiati.

Sasa kama hicho ndicho Kiingereza cha Mwalimu wa Chuo Kikuu, wanafunzi wake watakuwa katika hali gani?
 
pole sana mkuu πŸ˜‚
 

Safi sana.
 
Acha watoto wangu wasomee huko Kenya fedhea zingine serikali inahisika pakubwa mno na waliosoma zamani walielewa na kukiongea vizuri ila hawa wa sasa aibu tupu!


Yaani wanawakwepa?
 
Mkulima wa parachichi huko mbeya Kwa kina chichi akiwa na anafanya mawasiliano na wateja wa nje ya Nchi, mfano wateja wa south Africa atazungumza lugha Gani ?
Na wao hao uliowataja wakitaka wateja hapa kwetu watazungumza lugha gani?
 
Ni kujiamini tuu ndio issue Kwa wabongo wengi, kiukweli hao wasudani hata Kiingereza hawajui kama sisi, watanzania tunaongea Kiingereza kizuri tuu, ukikaa nje ya nchi na ukasoma nao ndio utagundua watanzania tuna afadhari sana kwenye kiingereza kuliko hao, nchi zote za Africa zaidi ya wakenya, Uganda, Nigeria, South Africa na nyingine kidogo hawajui Kiingereza kuliko sisi, hao Sudan masoko yao mengi ni kiarabu tuu na wanajifunza English kama darasa tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…