Madaktari wa Bongo washindwa kutema yai

Huna uwezo wa kumvimbia mtu unayeenda kuomba hela kwake kila kukicha labda umvimbie mchovu mwenzako kama hao waarabu koko.
Sasa unataka kunilazimisha kuwa na akili na mtazamo kama wako,kitu ambacho hakitowezekana,na kwa mtazamo ulionao ni ngumu sana Tanzania kuwa na mabadiliko kama vijana wenyewe ndio kama wewe
 
Ndio mana ni ngumu wabongo kujaa kule london na US. Nigerians na Kenyans ndio wengi....sisi hata hizo nafasi kwenda kwa Diversity visa tunakimbia๐Ÿค—
 
Sasa unataka kunilazimisha kuwa na akili na mtazamo kama wako,kitu ambacho hakitowezekana,na kwa mtazamo ulionao ni ngumu sana Tanzania kuwa na mabadiliko kama vijana wenyewe ndio kama wewe
Kila mtu ana haki ya kuwa na mtazamo wake siwezi kukulazimisha jambo lolote,kuwa na amani ndugu.
 
Hii habar sidhani kama Ina ukweli, lugha ya kiingereza inayotumika hospitalini ni tofauti na lugha ya kiingereza inayotumika mahakamani nk, Dr aliyekaa miaka 6 akisonea fani yake hawezi kushindwa kitu kidgo kama hicho labda kama hao ma intern walikuwa wanahitaji kutongozwa ila kama ni lugha ya kazi hapana.
 
Unapotea kabisa, kuna jamaa yangu akilewa anaongea ngeli nzuri kabisa kimbembe ni akiwa mzima ๐Ÿ˜‚
Sijui kwanini watu wengi wakilewa uwezo wao wa kuongea English huwa unaongezeka kuliko akiwa hajalewa.

Kuna haja ya kuwauliza watu wa TBL Siri ya ku-inject English kwenye Vinywaji vyao ๐Ÿ˜…๐Ÿค—
 
Ndio mana ni ngumu wabongo kujaa kule london na US. Nigerians na Kenyans ndio wengi....sisi hata hizo nafasi kwenda kwa Diversity visa tunakimbia๐Ÿค—
Japo changamoto ya upatikanaji wa Passport umechangia wengi kutokwenda huko nje

Ukitaka kuamini hili, jaribu kuuliza members humu ni wa ngapi Wana Passport? Wengi hawatakuwa nazo.

Japo pia uthubutu umepungua miongoni mwa WaTanzania wengi.

Miaka ya 90 hadi 2000 mwanzoni, Wabongo wengi walienda Ulaya na Marekani, miaka ya hivi karibuni hali imekuwa tofauti
 
Sijui kwanini watu wengi wakilewa uwezo wao wa kuongea English huwa unaongezeka kuliko akiwa hajalewa.

Kuna haja ya kuwauliza watu wa TBL Siri ya ku-inject English kwenye Vinywaji vyao ๐Ÿ˜…๐Ÿค—
Hii tafiti naomba wataalam waifuatilie mara moja.
 
Wewe pimbi kweli, Yan kiswahili kifutwe kisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ