Madaktari wa JF naomba msome X-ray hii

Madaktari wa JF naomba msome X-ray hii

queenkami

JF-Expert Member
Joined
Feb 8, 2010
Posts
1,694
Reaction score
1,249
Heshima zenu doctors mliopo JF,

Naomba mnisaidie kusoma hii picha ya X-ray kisha mniambie huyu mgonjwa ana shida gani.

Natanguliza shukrani.

IMG_20230427_101214_HDR.jpg
IMG_20230427_101048_HDR.jpg
 
Hapo mikono inataka kuwa miguu bado kiidogo tu.

Pole kwa kuumwa mkuu.
 
Pole, nilikuwa busy kwa hivi karibuni.
Hii, ni kazi ya wataalamu wa Radiolojia, ingawa daktari wa kawaida husoma basics za kuaoma X-ray pia.

Nimeipeleka kwa wataalamu huaika na majibu nitamupatia wewe bonafsi, kwani ni kipimo chako.
 
asante mkuu
 
Maelezo ya vipimo yanasemaje mkuu
Ndio uboya huo. Tushasema madaktari bongo msiwe na bei ndogo hivyo. Kesho mnaanza kusema bongo udaktari haulipi, mnataka mtoe consultations hadi Jamiiforums ili muonekane watabe. Kwanini asiende kwa daktari aliyepo karibu naye.
 
Back
Top Bottom