Madaktari wa JF nisaidieni sipati choo

Mimi hua sikati week ila kama unafanya kazi za kukaa sana usingojee hamu we nenda ufosi kunywa maji mengi
 
Mnatumiaga mijina migumu ili mtafutwe...
Eti sanamaki...
 
Chukua papai lililoiva asubuh tu ikifika mchana utaachua makimba yakutosha
 
Kula paipai kunywa maji mengi pia kwenye chakula chako mboga za majani za kutosha
 
Mboga za majani zakutosha kama mchicha fungu moja kula mwenyewe na papai zima maji lita taty
 
Inamaanako minyoo inagoma kuupisha mzigo?
 
Madaktari ni wiki moja na siku 2 tokea nilipopata choo mara ya mwisho.Nilienda Kwa Daktari nikapewa dozi nikamaliza lakini hamna mabadiliko.
Chukua sabuni ingiza kunako nununu the subiri, ila kunywa maji mengi sana 2 lt kwa uchache kwa siku, nunua matunda parachichi na papai ule kwa wingi pa2 na ndizi, acha kula wanga unaezachemsha mchicha ukala wenyewe tu kwa wingi, ukiona bado mzee kuna kimbegu kinaitwa mkuyati chukua vi3 meza ila hakikisha hauna kazi yoyote siku hiyo na hautoki nyumbani maana hiyo inakokots kila uchafu tumboni utahatisha mpaka roho itske kuchomoka, ila nunua oral weks kwenye maji unywe siku nzima polepile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…