Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 13,544
- 43,537
Papai zima avae pampas kbsKupata choo Kwa shida inasababishwa minyoo lakini pia tatizo la kutokunywa Maji ipasavyo na kutokula matunda.
Nakushauri njia sahihi ya wewe kupata choo haraka ni kula Tunda la Papai.
Kula Papai zima halafu kesho njoo ulete mrejesho hapa kama hujapata choo hadi ukahamia huko huko chooni 😜