Madaktari wa kiume ni mahandsome sana!!

Umeona eeeh hafu huwa wanaongea kwa kubembeleza sana aisee ukiona hvo na wewe mgonjwa unajifanya umezidiwa kumbe eeeeh
Eeeh unadeka dekaa tu jaman duuuuh mm hoiii kabisaa heko kwa madr
 
Umeona eeeh hafu huwa wanaongea kwa kubembeleza sana aisee ukiona hvo na wewe mgonjwa unajifanya umezidiwa kumbe eeeeh
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hiyo ni kutupa kazi ya mbili kwa mpigo ya kusaidia bby wako kukudekeza na matibabu ila usijali yote n majukumu yetu treat a patient do way some will ask ua service and care over n over again ua welcome
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…