Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kazi ngumu kama hizi lazima ujiachie, vinginevyo utachanganyikiwa bure, Ohoo! kula maishaaaaUwiii mkijaga na hizo mnasumbua nyumba na gari chap kwa haraka
HahaaaNakuona askar
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hiyo ni kutupa kazi ya mbili kwa mpigo ya kusaidia bby wako kukudekeza na matibabu ila usijali yote n majukumu yetu treat a patient do way some will ask ua service and care over n over again ua welcomeUmeona eeeh hafu huwa wanaongea kwa kubembeleza sana aisee ukiona hvo na wewe mgonjwa unajifanya umezidiwa kumbe eeeeh
Mmh kumbe hata Ma Technician wa Ultrasound,, huitwa madaktar?usiombe akufanyie ultra sound mhhhhhg achaaaaaa takupapasa unoo jaman jaman alafu handsomeee agrrrr
Ruksa kuichungulia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]I'd yako inasemaje?
Kabisa nawapa hongeraEeeh unadeka dekaa tu jaman duuuuh mm hoiii kabisaa heko kwa madr
Utakuwa ulisha waonja. Asifuye mvua (hata kama ni -vely ) imemnyea.Mhg acha sna hamu na askari miyeee
Kweli wabaya acha tutengweHahaaa tungo tata mkuu
Achana na hao wa mirembe njoo general hapaMxeeew usijipigie promooo