kibobori mahoro
JF-Expert Member
- Dec 12, 2022
- 7,452
- 10,785
Mwingine badala ya kumhudumia anaishia kuchezea kale kakisimi. Mwenye uzi umesema neno!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mke wangu hajawahi kutibiwa sirini hata mara moja.Hiyo itabaki kuwa siri ya daktari na mteja wake,akiongezeka hapo mtu wa tatu mambo yanaharibika.
Mi dokta alipomsifia mke wangu kaumbika na kwamba mazivu yameanzia mbali hadi raha,kila siku tangu pale naenda nae hospital,kila konaMke wangu hajawahi kutibiwa sirini hata mara moja.
Alipo akiwa mgonjwa, nipo!
Japo kipindi cha mimba , ile mambo yakupima njia inaboa sana aisee
Watakua vishoka au wapita njia hao!Kuna wengine hadi wanatongoza wanaoumwa.
🤣 huyo Dokta fala sana🤣🤣Mi dokta alipomsifia mke wangu kaumbika na kwamba mazivu yameanzia mbali hadi raha,kila siku tangu pale naenda nae hospital,kila kona
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mi dokta alipomsifia mke wangu kaumbika na kwamba mazivu yameanzia mbali hadi raha,kila siku tangu pale naenda nae hospital,kila kona
Mngese kweli yule jamaa🤣 huyo Dokta fala sana🤣🤣
Yes Kuna watu hawaelewiEbu ngoja tumuite mama yetu Dkt. Gwajima D atufafanulie ni kwa namna gani jambo hilo mtambuka linaweza kushughulikiwa na wizara yake ili kuboresha ustawi na maadili katika jamii (hasa akina mama wanaokumbwa na kadhia hiyo huko mahospitalini)
umri wako ni miaka mingapi?😁unafikiri kwenye ugonjwa Kuna jinsia?😁Inaonekana umri wako ni mdogo unahisi mkeo hataguswa?hadi maiti itaoshwa na mwanaume,na akiwa hai lazima wakupigie tu...ndo uanaume huoKama ilivyo polisi wanapoenda kumkamata mhalifu wa kike askari anayehusika na ukamataji ni askari wa kike, hata magereza ya kike huwa inahudumiwa na askari wanawake.
Upande wa afya mambo ni tofauti, vijana wa kisasa waliojipata kuwa madaktari na wauguzi wanafanya michezo ya kishetani kwa mama zetu ,dada zetu na wake zetu !hata ugonjwa usio wa kuchunguza sehemu za siri daktari anamuamuru mgonjwa avue nguo alale kitandani amuingize vidole ati anaangalia kama Ute uko safi!
Sera ibadike kama Kuna uchunguzi ufanywe mbele ya mume wake au mmoja wa ndugu na si mgonjwa peke yake, ama daktari wa kike ahudumie wagonjwa wa kike ikiwa amehitajika kuchunguzwa sehemu za Siri. Wake zetu asilimia tisini wakivukiwa nguo huko kwenye vyumba vya madaktari hawatoki salama kabisa!
Na kwa Hali ilivyo sasa madaktari wengi ni wagonjwa na wanaleta athari kubwa kijamii waziri wa afya jitahidi kuondoa kero hii,
Kwa Tanzania hii sijuwi kama itawezekana maana kama sheria hiyo hipo na inazingatiwa bași madaktari vihiyo wasingefanya hivi.Kwenye kile kiapo cha udaktari (Hippocratic Oath) kuna kuapa kutunza siri za mgonjwa.
Kwa hiyo kama kuna daktari anachukua taarifa za afya ya mgonjwa na kuzipeleka kijiweni basi anastahili kuchukuliwa hatua za kisheria kupitia baraza la madaktari.
Hata wewe ukitaka unaweza thibitisha, fika vijiweni kwao utasikia zaidi ya hayaHizi tuhuma unaweza kuthibitisha?