Madaktari wa kiume wasijihusishe na uchunguzi wa sehemu za Siri za wanawake, sera itungwe upya daktari wa kike ahudumie wanawake!

Madaktari wa kiume wasijihusishe na uchunguzi wa sehemu za Siri za wanawake, sera itungwe upya daktari wa kike ahudumie wanawake!

Mwingine badala ya kumhudumia anaishia kuchezea kale kakisimi. Mwenye uzi umesema neno!
 
Hiyo itabaki kuwa siri ya daktari na mteja wake,akiongezeka hapo mtu wa tatu mambo yanaharibika.
Mke wangu hajawahi kutibiwa sirini hata mara moja.
Alipo akiwa mgonjwa, nipo!
Japo kipindi cha mimba , ile mambo yakupima njia inaboa sana aisee
 
Mke wangu hajawahi kutibiwa sirini hata mara moja.
Alipo akiwa mgonjwa, nipo!
Japo kipindi cha mimba , ile mambo yakupima njia inaboa sana aisee
Mi dokta alipomsifia mke wangu kaumbika na kwamba mazivu yameanzia mbali hadi raha,kila siku tangu pale naenda nae hospital,kila kona
 
Ebu ngoja tumuite mama yetu Dkt. Gwajima D atufafanulie ni kwa namna gani jambo hilo mtambuka linaweza kushughulikiwa na wizara yake ili kuboresha ustawi na maadili katika jamii (hasa akina mama wanaokumbwa na kadhia hiyo huko mahospitalini)
Yes Kuna watu hawaelewi
 
Kama ilivyo polisi wanapoenda kumkamata mhalifu wa kike askari anayehusika na ukamataji ni askari wa kike, hata magereza ya kike huwa inahudumiwa na askari wanawake.

Upande wa afya mambo ni tofauti, vijana wa kisasa waliojipata kuwa madaktari na wauguzi wanafanya michezo ya kishetani kwa mama zetu ,dada zetu na wake zetu !hata ugonjwa usio wa kuchunguza sehemu za siri daktari anamuamuru mgonjwa avue nguo alale kitandani amuingize vidole ati anaangalia kama Ute uko safi!

Sera ibadike kama Kuna uchunguzi ufanywe mbele ya mume wake au mmoja wa ndugu na si mgonjwa peke yake, ama daktari wa kike ahudumie wagonjwa wa kike ikiwa amehitajika kuchunguzwa sehemu za Siri. Wake zetu asilimia tisini wakivukiwa nguo huko kwenye vyumba vya madaktari hawatoki salama kabisa!

Na kwa Hali ilivyo sasa madaktari wengi ni wagonjwa na wanaleta athari kubwa kijamii waziri wa afya jitahidi kuondoa kero hii,
umri wako ni miaka mingapi?😁unafikiri kwenye ugonjwa Kuna jinsia?😁Inaonekana umri wako ni mdogo unahisi mkeo hataguswa?hadi maiti itaoshwa na mwanaume,na akiwa hai lazima wakupigie tu...ndo uanaume huo
 
Kwenye kile kiapo cha udaktari (Hippocratic Oath) kuna kuapa kutunza siri za mgonjwa.

Kwa hiyo kama kuna daktari anachukua taarifa za afya ya mgonjwa na kuzipeleka kijiweni basi anastahili kuchukuliwa hatua za kisheria kupitia baraza la madaktari.
Kwa Tanzania hii sijuwi kama itawezekana maana kama sheria hiyo hipo na inazingatiwa bași madaktari vihiyo wasingefanya hivi.
 
Back
Top Bottom